TANZIA Mwenyekiti wa Baraza la wadhamini CHADEMA, Arcado Ntagazwa afariki dunia

Mtu mwenye IQ kubwa hawezi kuwa na mambo ya kijinga jinga na ya kitoto kama unayo yaonesha wewe unapo changia mada, na hasa zile zinazo wahusu Makada wa Chadema.
 
Ushambiwa taarifa zaidi zitawajia hivi punde!

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kwani kifo kina "ujiko"?

Kwamba marehemu aliyepatwa na umauti kwa COVID-19 anapata ujiko mchache na kama sababu ya kifo ni kitu kingine basi marehemu anapewa ujiko mwingi.
 
Ukiwa CCM lazima uwe mjinga , uwe na roho mbaya , mnafiki , uwe na roho ya kichawi yaani jitu linaambiwa taarifa zitafuata lenyewe linaanza ukosoaji wa kitabulalasa kiempty head , hivi hili li CCM limeandika nn hapa .
 
Ukiwa CCM lazima uwe mjinga , uwe na roho mbaya , mnafiki , uwe na roho ya kichawi yaani jitu linaambiwa taarifa zitafuata lenyewe linaanza ukosoaji wa kitabulalasa kiempty head , hivi hili li CCM limeandika nn hapa .
Acha unafiki kwani wanapokufa watu wa ccm huo mnasubiri taarifa nyie?? Humu jukwaani kila anaye kufa nyie ndio huwa wakwanza kushangilia na kuhusisha Corona bila ya kuwa na ushahidi wowote tena hamuishii hapo na matusi juu, ila wakifa watu wa chadema basi ni marufuko kutajwa Corona!! Alafu ndo mnajiita wenye akili kubwa sijui ma GT !!
 
Tatizo mkuu wenye tabia ya kuleta haya mambo ni hawa wenzetu wenye akili nyingi kuliko binadamu yeyote hapa Tanzania.

Fuatilia mada nyingi za Tanzia humu uone wanayo yaasema ndio maana hapa unaona Comments za namna hiyo.

Yani akifa mtu wa ccm, watumishi wa umma na binafsi lazima itajwe Corona kuwa ndio chanzo cha kifo huku na maneno machafu juu.

Ila akifa Chadema wanataka kuwepo na ubinadamu na watu wote waje hapa wakiwa na huzuni na kutoa maneno ya faraja.

Huu ni unafiki mkuu ndio mana watu wanafunguka hii sio sawa hawa wenye akili wabadilike.
 
Kumbe CHADEMA nao huwa pia wanakufa? Maana comments zao kwa misiba ya wengine huwa inasikitisha sana
 
Kumbe chadema nao huwa pia wanakufa? Maana comments zao kwa misiba ya wengine huwa inasikitisha sana
Sasa ndo umeongea nini hapo,Never rejoice when someone is going through difficulties like losing loved ones, even yourself u will die one day at a time,death knows no political boundaries,
 
Ugonjwa wa CORONA si wa kushindania wala kubezana, ni ugonjwa ambao watanzania wote inabidi tuwe pamoja kusaidiana katika kutoa maelezo jinsi ya kujikinga. Kutoelewa ukubwa wa tatizo hili kunafanya kuwa watanzania wote ni wajinga. Elimu inahitajika!

Hili si swala la CCM wala CHADEMA, ni swala la watanzania wote.

Eee Mola wetu tupe stara, ueleo, nuru, elimu na upendo katika mtihani huu uliotuletea, na tutoe katika kiza cha UCHAMA katika kadhia hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…