TANZIA Mwenyekiti wa Baraza la wadhamini CHADEMA, Arcado Ntagazwa afariki dunia

Maneno yako nitayakumbuka Hadi mwisho wa uhai wangu Chadema ni manafiki Sana angekuwa CCM yangetoa maneno yaliyojaa Taharuki kwa Watanzania lkn sasa utasikia pumzika Kamanda hata Kama Mgambo hakupita pale kishumundu Kijiji cha Ujamaa.
 
Sasa ndo umeongea nini hapo,Never rejoice when someone is going through difficulties like losing loved ones, even yourself u will die one day at a time,death knows no political boundaries,
Mngelijua hilo msingekuwa mnafanya ujinga kwa wengine wakifa
 
Mtu mwenye IQ kubwa hawezi kuwa na mambo ya kijinga jinga na ya kitoto kama unayo yaonesha wewe unapo changia mada, na hasa zile zinazo wahusu Makada wa Chadema.
Mkuu huyo jamaa Fuvu bovu
 
Mwambie huyo kamanda uchwara wa ufipa.

RIP Arcado Ntagazwa.
 
RIP Mzee wetu, tangulia sisi tuliobaki bado tunaendeleza mapambano ya kumwondoa huyu mkoloni mweusi.
 
Maneno yako nitayakumbuka Hadi mwisho wa uhai wangu Chadema ni manafiki Sana angekuwa CCM yangetoa maneno yaliyojaa Taharuki kwa Watanzania lkn sasa utasikia pumzika Kamanda hata Kama Mgambo hakupita pale kishumundu Kijiji cha Ujamaa.
uongo utakusaidia nini kwenye huo umasikini wako ?
 
Maneno yako nitayakumbuka Hadi mwisho wa uhai wangu Chadema ni manafiki Sana angekuwa CCM yangetoa maneno yaliyojaa Taharuki kwa Watanzania lkn sasa utasikia pumzika Kamanda hata Kama Mgambo hakupita pale kishumundu Kijiji cha Ujamaa.
Mkuu umeona Kishumundu ni kiji cha ujamaa. Ungejikita tu kwenye hoja ya mleta mada na kua ha ushabiki maandazi.
 
Pumzika mzee kwa kuwa marehem hasemwi bora ninyamaze
Ila ulikuwa unazingua mzee
Poleeni

Kuchoka poleee mwamba
 
Kidada kinafiki sana,kitakuwa kichawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…