Nikwambie kitu. Hicho kitu unachokiita system unamaanisha nini? Kama unamanisha usalama wataifa unakosea. Hivi unajua Idara ya usalama wa taifa imewahi kufumuliwa na Nyerere naada ya kuboronga ?Vijana hawaijui hii nchi... juzi tu alipoingia samia.... wametekwa wengi tu wenye kelele
kwa kikwete ULIMBOKA alitekwa hata JK hakujua.....amekuja kumuona muhimbili....
Roma alitekwa kwa makosa ya kipind cha JK, mwanzon mwa utawala wa JPM....
Kuwa na adabu kwa watu waliokuzidi umri!Ameyataka mwenyewe mzee mzima ndio anashobokea siasa
USSR
Mtu asije kumpoteza mtu kwa niaba yangu,so usiniweke kwenye hiyo idadi!Yaani kwa ajili ya matumbo ya wanasiasa,wafanyiane nongwa na kuuana kisa ulafi wa madaraka halafu unijumlishe na mimi eti ni kwa manufaa yangu,shwain!Ni kwa manufaa ya matumbo yao wenyewe wanaonufaika na mfumo moja kwa moja!kuna watu au SYSTEM NI ZAID YA RAIS WA NCHI
Why lissu hataki kurud ikiwa aliyekuwa adui yake JPM hayupo?
Why ROMA katelekeza familia ikiwa mliyesema anateka hayupo?
kuna mamlaka zaid ya raisi
NI HERI UPOTEZWE MTU MMOJA KWA MANUFAA YA WATZ MILLion 50
MUULIZE DR.ULIMBOKA ENZ ZA JK......HATA JK ALISHTUKIA MTU YUPO MUHIMBILI
system ilishafanya yake
Yani kwamba system inaamuliwa na wanasiasa?Wewe ndio huijui kabisa, kila mtu unayemsikia au kumuona kuna mtu kamuambia akafanye nini ndio maana Rais akishapata madaraka anaweza fumua kila idara na kuweka mtu wake atakaye submit kwake na kama yupo Rais mjinga kias hicho cha watu kufanya mambo kwa story za system basi huyo ni mjinga.
Usitafute kueneza ujinga hapa na dhana potofu kiasi hiki hapa, halafu ujione wewe ndiye mjuaji!kuna watu au SYSTEM NI ZAID YA RAIS WA NCHI
Why lissu hataki kurud ikiwa aliyekuwa adui yake JPM hayupo?
Why ROMA katelekeza familia ikiwa mliyesema anateka hayupo?
kuna mamlaka zaid ya raisi
NI HERI UPOTEZWE MTU MMOJA KWA MANUFAA YA WATZ MILLion 50
MUULIZE DR.ULIMBOKA ENZ ZA JK......HATA JK ALISHTUKIA MTU YUPO MUHIMBILI
system ilishafanya yake
Kwani mchangiaji anataka kuongoza nchi?Akili zenyewe ndo kama zako kisha mnataka kuongoza nchi
Anaburuzwa Sana ndio maana Samia alisema "wenzake na mboye wako wa 3 na wapo kifungoni"Kwamba Rais anaburuzwa na watu fulani siyo ?
Kumbe wewe ni mpuuzi kama hawa wengine hapa?beni alivuka mipaka,tena alipewa upendeleo ,alionywa kabisa, akapost fb
kilichofata ni historia
Na akiletwa huku Tanganyika au mbweni tuna m'badilishia jina lake la asili ili ndugu wakija kumtafuta vituon wamkoseMara zote wakiwakamata watu unguja wanaleta Tanganyika , Mbweni
Unaona mbwa wa Ulaya anafaidi kuliko wewe. Niambie nikutafutie mtu anayetaka mbwa mwenye sura binaadamu ili uende kwake ukawe mbwa wake.Bora ningezaliwa mbwa Ulaya
Ccm inafanya nimkumbuke mzee Kingunge inamaana kumbe pumzi zimewaishia kiasi hiki au watu wanatafuta sifa kale kapress kanawatisha hivyoView attachment 1961683
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Chadema kwa sasa , ambapo watu wasiofahamika wakiwa na bunduki wamemchukua Mzee Hashimu Issa nyumbani kwake Unguja na kuondoka naye , tena bila kusema wanampeleka wapi .
Taarifa zaidi zitaendelea kuwajia kwa kadri zitakavyotufikia .
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Ina maana wasiojulikana wamerudi tena
JPM muasisi wa makundi ya wasiojulikana full stop.JPM mlikuwa mnamsingizia tu, wengi hamjui kuna kitu kinaitwa SYSTEM, ndio maana lissu alikuwa anadai adui yake JPM, lkn cha ajabu hadi kesho anaogopa kurudi
je JPM bado yupo?
kutekwa kupo tokz enzi za JK NYERERE,mwinyi, mkapa,kikwete
`
Dah! Yaani muda huu ungekua zako London 🐕🦺 unamilikiwa na huyu mwamba hapa🚶