kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,887
- 5,687
Nikwambie kitu. Hicho kitu unachokiita system unamaanisha nini? Kama unamanisha usalama wataifa unakosea. Hivi unajua Idara ya usalama wa taifa imewahi kufumuliwa na Nyerere naada ya kuboronga ?Vijana hawaijui hii nchi... juzi tu alipoingia samia.... wametekwa wengi tu wenye kelele
kwa kikwete ULIMBOKA alitekwa hata JK hakujua.....amekuja kumuona muhimbili....
Roma alitekwa kwa makosa ya kipind cha JK, mwanzon mwa utawala wa JPM....