Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la CHADEMA aliyekamatwa Zanzibar, Hashimu Issa Juma apelekwa Kisutu

Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la CHADEMA aliyekamatwa Zanzibar, Hashimu Issa Juma apelekwa Kisutu

Vijana hawaijui hii nchi... juzi tu alipoingia samia.... wametekwa wengi tu wenye kelele

kwa kikwete ULIMBOKA alitekwa hata JK hakujua.....amekuja kumuona muhimbili....

Roma alitekwa kwa makosa ya kipind cha JK, mwanzon mwa utawala wa JPM....
Nikwambie kitu. Hicho kitu unachokiita system unamaanisha nini? Kama unamanisha usalama wataifa unakosea. Hivi unajua Idara ya usalama wa taifa imewahi kufumuliwa na Nyerere naada ya kuboronga ?
 
kuna watu au SYSTEM NI ZAID YA RAIS WA NCHI

Why lissu hataki kurud ikiwa aliyekuwa adui yake JPM hayupo?

Why ROMA katelekeza familia ikiwa mliyesema anateka hayupo?

kuna mamlaka zaid ya raisi

NI HERI UPOTEZWE MTU MMOJA KWA MANUFAA YA WATZ MILLion 50

MUULIZE DR.ULIMBOKA ENZ ZA JK......HATA JK ALISHTUKIA MTU YUPO MUHIMBILI

system ilishafanya yake
Mtu asije kumpoteza mtu kwa niaba yangu,so usiniweke kwenye hiyo idadi!Yaani kwa ajili ya matumbo ya wanasiasa,wafanyiane nongwa na kuuana kisa ulafi wa madaraka halafu unijumlishe na mimi eti ni kwa manufaa yangu,shwain!Ni kwa manufaa ya matumbo yao wenyewe wanaonufaika na mfumo moja kwa moja!
 
Wewe ndio huijui kabisa, kila mtu unayemsikia au kumuona kuna mtu kamuambia akafanye nini ndio maana Rais akishapata madaraka anaweza fumua kila idara na kuweka mtu wake atakaye submit kwake na kama yupo Rais mjinga kias hicho cha watu kufanya mambo kwa story za system basi huyo ni mjinga.
Yani kwamba system inaamuliwa na wanasiasa?

Kwa mtazamo wangu wewe ndy haujui kuliko huyo unayemkosoa ..mm naona Jackwillpower hoja yake angalau ina mashiko

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
kuna watu au SYSTEM NI ZAID YA RAIS WA NCHI

Why lissu hataki kurud ikiwa aliyekuwa adui yake JPM hayupo?

Why ROMA katelekeza familia ikiwa mliyesema anateka hayupo?

kuna mamlaka zaid ya raisi

NI HERI UPOTEZWE MTU MMOJA KWA MANUFAA YA WATZ MILLion 50

MUULIZE DR.ULIMBOKA ENZ ZA JK......HATA JK ALISHTUKIA MTU YUPO MUHIMBILI

system ilishafanya yake
Usitafute kueneza ujinga hapa na dhana potofu kiasi hiki hapa, halafu ujione wewe ndiye mjuaji!

Hiyo "system" wewe unaijuwa? Madaraka yake yanatokana na nini kama siyo kutoka kwa huyo unayetaka kuaminisha watu kwamba hana madaraka juu yao!

Watu wengine sijui mmeumbwa na akili za namna gani!
 
Serikali ya Umoja wa Kitaifa (Maridhiano) GNU ya SMZ , inaruhusu mambo haya kutendeka kama huku Tanganyika ?

Lini serikali ya SMZ itaacha kuburuzwa na serikali ya Tanganyika iliyojivika koti la serikali ya Muungano ?

Mambo gani tena nchi huru ya Zanzibar yenye serikali ya Umoja wa Kitaifa inaanza kuruhusu mifumo isiyo rasmi ya kutekwa

Toka Maktaba:
17 September 2021
Marekani yaipongeza Zanzibar, Makamu wa Kwanza wa Rais SMZ akutana na balozi Dr. Donald Wright

Source: Channel Rasmi ya Ofisi ya: Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar.
 
beni alivuka mipaka,tena alipewa upendeleo ,alionywa kabisa, akapost fb

kilichofata ni historia
Kumbe wewe ni mpuuzi kama hawa wengine hapa?
Nilidhani unakitu kidogo kichwani zaidi ya ujinga unaoeneza kuhusu 'system'.
 
Shida yote ya Nini?
Pigeni marufuku vyama vingi. Sio dhambi nchi ikiwa na chama kimoja.
 
Zee zima limekalia kulopoka lopoka hovyo, wacha walikwide tu kwanza ndio lijifunze.
 
View attachment 1961683

Hii ndio Taarifa mpya kutoka Chadema kwa sasa , ambapo watu wasiofahamika wakiwa na bunduki wamemchukua Mzee Hashimu Issa nyumbani kwake Unguja na kuondoka naye , tena bila kusema wanampeleka wapi .

Taarifa zaidi zitaendelea kuwajia kwa kadri zitakavyotufikia .
Ccm inafanya nimkumbuke mzee Kingunge inamaana kumbe pumzi zimewaishia kiasi hiki au watu wanatafuta sifa kale kapress kanawatisha hivyo
 
JPM mlikuwa mnamsingizia tu, wengi hamjui kuna kitu kinaitwa SYSTEM, ndio maana lissu alikuwa anadai adui yake JPM, lkn cha ajabu hadi kesho anaogopa kurudi

je JPM bado yupo?

kutekwa kupo tokz enzi za JK NYERERE,mwinyi, mkapa,kikwete

`
JPM muasisi wa makundi ya wasiojulikana full stop.
 
Back
Top Bottom