Bado mama anayaendeleza ya kaka yake!View attachment 1961683
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Chadema kwa sasa , ambapo watu wasiofahamika wakiwa na bunduki wamemchukua Mzee Hashimu Issa nyumbani kwake Unguja na kuondoka naye , tena bila kusema wanampeleka wapi .
Taarifa zaidi zitaendelea kuwajia kwa kadri zitakavyotufikia .
System yetu mbovu mbona haizuii mambo ya hovyohovyo,yaani system inapambana na upinzani tu.Hiyo system inakula hela bure Bora isingekwepohata lissu akiwa rais watu watatekwa kama kawa, KUNA SYSTEM nyuma ya rais,Ndio maana tunaoijua hii nchi, tunajua Mbowe sio Gaidi ila SYSTEM imefanyabyake, angekuwepo JPM angetupiwa kila lawama...
SAMIA awali hakuijua Vzr SYSTEM..... akataka aendeshe nchi yeye kama yeye, ndipo SYSTEM ikamuambia kina mbowe watamzid kete...
now Mbowe yupo korokoroni.....
Alipotea akiwa madarakani?Viongozi wa dini simameni imara kukemea haya,ipo Siku itakuwa zamu yenu.Alipotea makamu wa RAIS Abdallah Hanga huko Zanzibar Hadi leo hajapatikana pia waliompoteza na wao hawapo duniani bila kupotezwa.muosha huoshwa.
Matusi tena!! Jamaa mwenyewe amejisemea 'ni bora angezaliwa mbwa Ulaya'.Mbwa wa jinsia gani huyu? Watu mna matusi!
Hii ni ukweli mchungu.NI HERI UPOTEZWE MTU MMOJA KWA MANUFAA YA WATZ MILLion 50
wana hoja,system iliwahi kumuondoa makamu wa raisi.....kuna watu wanadai eti system ndio imemuondoa jiwe.
Alipotea makamu wa RAIS Abdallah Hanga huko Zanzibar Hadi leo hajapatikanaJPM muasisi wa makundi ya wasiojulikana full stop.
HUIJUI HISTORIA YA HII NCHIUnaweza ukatuambia kwenye tawala hizo za nyuma ukiondoa ya Kikwete ni akina nani waliotekwa.
Huu utekaji unaofanywa sasa hivi na Tiss wapo na wanaangalia tu kama watazamaji inaonyesha wazi kwamba ni wenyewe ndio wanaopanga hizi mission.
Nguruwe jike wee!Pumbavu zako dogo!
Bado wapinzani hawajaelewa namna ya kudili na nyakati.JPM mlikuwa mnamsingizia tu, wengi hamjui kuna kitu kinaitwa SYSTEM, ndio maana lissu alikuwa anadai adui yake JPM, lkn cha ajabu hadi kesho anaogopa kurudi
je JPM bado yupo?
kutekwa kupo tokz enzi za JK NYERERE,mwinyi, mkapa,kikwete
`
wapo tu mbona kina mahita na kingai na kule zenj wana tawi laoIna maana wasiojulikana wamerudi tena
Upo sahihi, kwasasa ni hii mitandao tu haya mambo yapo muda mrefu sanaJPM mlikuwa mnamsingizia tu, wengi hamjui kuna kitu kinaitwa SYSTEM, ndio maana lissu alikuwa anadai adui yake JPM, lkn cha ajabu hadi kesho anaogopa kurudi
je JPM bado yupo?
kutekwa kupo tokz enzi za JK NYERERE,mwinyi, mkapa,kikwete
`
Nenda katubu....Bora ningezaliwa mbwa Ulaya
Kwahiyo kupotezwa watu unaona ushujaa,wewe utaishi milele? Akili mavi kwelikweli.kuna watu au SYSTEM NI ZAID YA RAIS WA NCHI
Why lissu hataki kurud ikiwa aliyekuwa adui yake JPM hayupo?
Why ROMA katelekeza familia ikiwa mliyesema anateka hayupo?
kuna mamlaka zaid ya raisi
NI HERI UPOTEZWE MTU MMOJA KWA MANUFAA YA WATZ MILLion 50
MUULIZE DR.ULIMBOKA ENZ ZA JK......HATA JK ALISHTUKIA MTU YUPO MUHIMBILI
system ilishafanya yake
Dah!...siasa imekuwa ya vijana tu?Ameyataka mwenyewe mzee mzima ndio anashobokea siasa
USSR
Kigogo2014 saizi amekuwa adui mkubwa wa wale waliokuwa wanafurahia post zake akitukana watu.........woti goziii araundi, kamsi araundi ..........Bado wapinzani hawajaelewa namna ya kudili na nyakati.
Kosa kubwa la chadema ni kubeba mambo yote kwa pamoja na kurukia kila hoja.
Kigogo aliwashauri vizuri kuwa waandae watu . Mpaka anakamatwa na kupelekwa kusikojulikana wao hawana information toka ndani ya mifumo ya dola ni udhaifu mkubwa.
Chadema mpaka Mwenyekiti wao alikamatwa kibubusa bila taarifa ni ukolo.
Kigogo alijaribu kuwapa somo zuri sana la kujipanga lakini wakapotosha kuwa anawashauri kuandaa uasi. Mpaka sasa bado viongozi wanatekwa.
Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
penda kujifunza kwanza kabla ya kuandika ujingaJPM mlikuwa mnamsingizia tu, wengi hamjui kuna kitu kinaitwa SYSTEM, ndio maana lissu alikuwa anadai adui yake JPM, lkn cha ajabu hadi kesho anaogopa kurudi
je JPM bado yupo?
kutekwa kupo tokz enzi za JK NYERERE,mwinyi, mkapa,kikwete
`