Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la CHADEMA aliyekamatwa Zanzibar, Hashimu Issa Juma apelekwa Kisutu

Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la CHADEMA aliyekamatwa Zanzibar, Hashimu Issa Juma apelekwa Kisutu

View attachment 1961683

Hii ndio Taarifa mpya kutoka Chadema kwa sasa , ambapo watu wasiofahamika wakiwa na bunduki wamemchukua Mzee Hashimu Issa nyumbani kwake Unguja na kuondoka naye , tena bila kusema wanampeleka wapi .

Taarifa zaidi zitaendelea kuwajia kwa kadri zitakavyotufikia .
Bado mama anayaendeleza ya kaka yake!
 
Sasa ni wakati wa piga nikupige sio piga tajama,mkizubaa mtamalizika ,kakwapuliwa Mbowe ,sasa huyo na kesho mwengine mnaishia mitandaoni kupiga makelele,jifundisheni hizi hila muondokeke na mtu kama wanavyoondoka wao mpaka ifike wakati watu wanaheshimiana kama Yemeni.
Siro alivyowambia mlale na magongo mnafikiri alikuwa anaota ?
 
hata lissu akiwa rais watu watatekwa kama kawa, KUNA SYSTEM nyuma ya rais,Ndio maana tunaoijua hii nchi, tunajua Mbowe sio Gaidi ila SYSTEM imefanyabyake, angekuwepo JPM angetupiwa kila lawama...

SAMIA awali hakuijua Vzr SYSTEM..... akataka aendeshe nchi yeye kama yeye, ndipo SYSTEM ikamuambia kina mbowe watamzid kete...

now Mbowe yupo korokoroni.....
System yetu mbovu mbona haizuii mambo ya hovyohovyo,yaani system inapambana na upinzani tu.Hiyo system inakula hela bure Bora isingekwepo
 
Viongozi wa dini simameni imara kukemea haya,ipo Siku itakuwa zamu yenu.Alipotea makamu wa RAIS Abdallah Hanga huko Zanzibar Hadi leo hajapatikana pia waliompoteza na wao hawapo duniani bila kupotezwa.muosha huoshwa.
Alipotea akiwa madarakani?
 
Unaweza ukatuambia kwenye tawala hizo za nyuma ukiondoa ya Kikwete ni akina nani waliotekwa.

Huu utekaji unaofanywa sasa hivi na Tiss wapo na wanaangalia tu kama watazamaji inaonyesha wazi kwamba ni wenyewe ndio wanaopanga hizi mission.
HUIJUI HISTORIA YA HII NCHI

wana hoja,system iliwahi kumuondoa makamu wa raisi...

Alipotea makamu wa RAIS Abdallah Hanga huko Zanzibar Hadi leo hajapatikana

Muulize lissu,Roma mbona adui yao JPM hayupo, lkn wanaogopa kurudi...wanaogopa nn....hadi roma katelekeza familia...au JPM yupo
 
JPM mlikuwa mnamsingizia tu, wengi hamjui kuna kitu kinaitwa SYSTEM, ndio maana lissu alikuwa anadai adui yake JPM, lkn cha ajabu hadi kesho anaogopa kurudi

je JPM bado yupo?

kutekwa kupo tokz enzi za JK NYERERE,mwinyi, mkapa,kikwete

`
Bado wapinzani hawajaelewa namna ya kudili na nyakati.

Kosa kubwa la chadema ni kubeba mambo yote kwa pamoja na kurukia kila hoja.

Kigogo aliwashauri vizuri kuwa waandae watu . Mpaka anakamatwa na kupelekwa kusikojulikana wao hawana information toka ndani ya mifumo ya dola ni udhaifu mkubwa.

Chadema mpaka Mwenyekiti wao alikamatwa kibubusa bila taarifa ni ukolo.

Kigogo alijaribu kuwapa somo zuri sana la kujipanga lakini wakapotosha kuwa anawashauri kuandaa uasi. Mpaka sasa bado viongozi wanatekwa.

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
Upo sahihi, kwasasa ni hii mitandao tu haya mambo yapo muda mrefu sana
 
kuna watu au SYSTEM NI ZAID YA RAIS WA NCHI

Why lissu hataki kurud ikiwa aliyekuwa adui yake JPM hayupo?

Why ROMA katelekeza familia ikiwa mliyesema anateka hayupo?

kuna mamlaka zaid ya raisi

NI HERI UPOTEZWE MTU MMOJA KWA MANUFAA YA WATZ MILLion 50

MUULIZE DR.ULIMBOKA ENZ ZA JK......HATA JK ALISHTUKIA MTU YUPO MUHIMBILI

system ilishafanya yake
Kwahiyo kupotezwa watu unaona ushujaa,wewe utaishi milele? Akili mavi kwelikweli.
 
Bado wapinzani hawajaelewa namna ya kudili na nyakati.

Kosa kubwa la chadema ni kubeba mambo yote kwa pamoja na kurukia kila hoja.

Kigogo aliwashauri vizuri kuwa waandae watu . Mpaka anakamatwa na kupelekwa kusikojulikana wao hawana information toka ndani ya mifumo ya dola ni udhaifu mkubwa.

Chadema mpaka Mwenyekiti wao alikamatwa kibubusa bila taarifa ni ukolo.

Kigogo alijaribu kuwapa somo zuri sana la kujipanga lakini wakapotosha kuwa anawashauri kuandaa uasi. Mpaka sasa bado viongozi wanatekwa.

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
Kigogo2014 saizi amekuwa adui mkubwa wa wale waliokuwa wanafurahia post zake akitukana watu.........woti goziii araundi, kamsi araundi ..........
 
JPM mlikuwa mnamsingizia tu, wengi hamjui kuna kitu kinaitwa SYSTEM, ndio maana lissu alikuwa anadai adui yake JPM, lkn cha ajabu hadi kesho anaogopa kurudi

je JPM bado yupo?

kutekwa kupo tokz enzi za JK NYERERE,mwinyi, mkapa,kikwete

`
penda kujifunza kwanza kabla ya kuandika ujinga
 
Back
Top Bottom