Maporomoko bei ya mbaazi kutoka 4000 mwaka jana hadi 800 mwaka huuKikao cha Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefanyika majira ya saa nane usiku chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia na kuchuja majina ya wagombea Jijini Dodoma tarehe 28 Julai, 2025.
View attachment 3421255
View attachment 3421256
View attachment 3421257
Katibu mkuu na makamu mwenyekiti na kiprotokali yupo juu ya mwingine?Kikao cha Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefanyika majira ya saa nane usiku chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia na kuchuja majina ya wagombea Jijini Dodoma tarehe 28 Julai, 2025.
View attachment 3421255
View attachment 3421256
View attachment 3421257
wanataka kuwatema uanachama Polepole na Gwajima.........muda utaongeaKikao cha Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefanyika majira ya saa nane usiku chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia na kuchuja majina ya wagombea Jijini Dodoma tarehe 28 Julai, 2025.
View attachment 3421255
View attachment 3421256
View attachment 3421257
Anadondoshwa mtu,,,,nyie mnapita na wachungaji wenu na wao wanapita na formula zaoUsiku? Why?
wanataka kuwatema uanachama Polepole na Gwajima.........muda utaongea
Katibu Mkuu ndio mtendaji Mkuu wa chama, anatakiwa awe KARIBU NA mwenyekiti ili we rahisi kuwasiliana ,wakati mwingine kuna kitu cha siri kunong'ona ili wengine wasisikie.Katibu mkuu na makamu mwenyekiti na kiprotokali yupo juu ya mwingine?
Siyo kwa mtandao tena??Kikao cha Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefanyika majira ya saa nane usiku chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia na kuchuja majina ya wagombea Jijini Dodoma tarehe 28 Julai, 2025.
View attachment 3421255
View attachment 3421256
View attachment 3421257
Chama ni wanachama, wao ndio wanatakiwaa wapige kura kuamua nani awe mgombea, sio kakikundi kidogo cha watu.Tunakitaka chama chetu cha mapinduzi kutuletea wabunge safi wanaokuballika kwenye majimbo ya uchaguzi,ambao wana rekodi nzuri na safi za utendaji kazi ndani ya majimbo yao,
-Tuondoleeni wabunge wavivu na wasio na msaada kwa majimbo
-Tuondoleeni wale wote ambao wameshindwa kufanya lolote la kimaendeleo majimboni
-Tuondoleeni wale wote waliotumia vibaya fedha za mfuko wa majimbo (wabinafsi)
-Watoro bungeni
-vilaza
-wenye tabia zilizo kinyume kimaadili,walevi,wazinzi,n.k.
-Nnaweza kuongezea...........
N.b,kazi iendelee,
October tuna ✔️