GE2025 Mwenyekiti wa CCM Aongoza kikao Cha kamati ya Maadili saa 8 Usiku Jijini Dodoma

GE2025 Mwenyekiti wa CCM Aongoza kikao Cha kamati ya Maadili saa 8 Usiku Jijini Dodoma

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa nini wanachama wasichuje wenyewe??
Wanachama watachuja wagombea 200 wanaogombea nafasi moja?
Hicho wanachokifanya ccm kwenye nafasi ya urais ni nini..wanapotoa fomu kwa watu wanaoomba urais kisha kubaki na majina yasiyozidi 5 kwenda kwenye hatua inayofuata kabla ya kupigiwa kura, kwa nini hawasemi wanachama watachuja..?
 
Wanajitesa sana, Huwa wanasaidiwa kuongoza nchi wao hakuna wanaloweza...Kila kitu wanasaidiwa na mtu mmoja aliyestaafu sasa hapo wanakesha kufanya Nini?? Kusinzia labda kama wasira. Hata siyaelewagi yanafanya Nini....maana hawawezi kuwa na maamuzi Hadi wamuulize yupo kibabu mstaafu
 
Back
Top Bottom