GE2025 Mwenyekiti wa CCM Aongoza kikao Cha kamati ya Maadili saa 8 Usiku Jijini Dodoma

GE2025 Mwenyekiti wa CCM Aongoza kikao Cha kamati ya Maadili saa 8 Usiku Jijini Dodoma

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
HUO NI MCHUJO TUH ANGA LOTE LINARINDIMA TUKUTANE OCTOBER KUNA WATU WATAKIMBIA
 
C tumekubaliana hatupigi kura, vijana acheni usaliti
 
Chama ni wanachama, wao ndio ⚔️⚔️wanataka wapige kura kuamua nani awe mgombea, sio kakikundi kidogo cha watu.
Angalizo liende kwa wanaowachagua wabunge,wasiangalie sura,hafai una ⚔️❌❎
 
Mbunge ana pawa Gani ya kuleta maendeleo jimboni ikiwa Executive Hana Nia na mkoa, wilaya, halmashauri ambapo jimbo lipo? Hai wabunge hulitia hasara taifa tu Kila baada ya miaka 5
 
M
Kikao cha Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefanyika majira ya saa nane usiku chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia na kuchuja majina ya wagombea Jijini Dodoma tarehe 28 Julai, 2025.

View attachment 3421255
Mwenyekiti wa Kamati ya maadili ni Makamu Mwenyekiti Mhe.Wasira
 
Why saa nane usiku?
Mida ya wanga!
download (19).jpeg
 
Back
Top Bottom