GE2025 Mwenyekiti wa CCM Aongoza kikao Cha kamati ya Maadili saa 8 Usiku Jijini Dodoma

GE2025 Mwenyekiti wa CCM Aongoza kikao Cha kamati ya Maadili saa 8 Usiku Jijini Dodoma

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kuna wimbo mmoja wa sabato namba 148 kama sikosei, maana sijakanyaga church since 2004...

Una maneno haya...🎼🎼🎵
🎵🎼🎼
"U mwendo gani nyumbani, mlinzi akanijibu, usihuzunike tena, ishara kuu na dalili zaonyesha...usiku sasa waisha, machweo karibu...kitambo tutakutana...wenye furaha kamili...nyumbani mwa baba! (Tanzania tuitakayo)"
🎼🎵🎵
 
Hivi inamaana huyu mama hadi naamka leo bado tu ana nafasi ya kuwa mgombea tu? CCM mna shida sana aisee
 
Chama ni wanachama, wao ndio wanatakiwaa wapige kura kuamua nani awe mgombea, sio kakikundi kidogo cha watu.
..kwa hiyo vetting isifanyike? Ni sawa wanachama 3000 kupigia kura wagombea 200 ili apatikane mmoja? Nadhani muundo wa kurudisha majina 3 ni mzuri zaidi, kazi yoyote lazima iwe na sifa na vigezo ili kumpata mmoja mwenye anakidhi vigezo kushinda wengine..hilo jukumu huwezi kuwaachia wanachama kuamua..unapofanya vetting unawarahisishia wanachama kuchagua mtu bora mwenye sifa.
 
Vetting ni nini??
 
Back
Top Bottom