wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Mimi ningekuwa CCM ningechukua form.Mpaka sasa aliyechukua fomu ni mmoja.
2015 waliochukua walikuwa zaidi ya 20.
Ni matumaini Yangu kina Mwigulu ,Lukuvi ,Lowasa,Sumaye ,Mwakyembe ,na wengineo wengi watachukua ,tunahitaji demokrasia kuweni mfano
Urais wake unaishia Oktoba 2020 na hivyo kuanzia Novemba 2020 anatakiwa Rais mwingine mpya, na ndiyo maana amechukua form. Ieleweke kuwa mpaka muda huu, Katiba yetu ya JMT inatuambia kuwa hatuna Rais wa kuanzia Novemba 2020 mpaka Oktoba 2025Sasa ndo nini yani raisi Magufuli amechukua fom ya kugombea Uraisi?
Mimi ningekuwa CCM ningechukua form.
Watu waoga. Hivi hakuna mwana CCM wa kwenda kuchukua form ?Kweli watanzania sio jasiri. Ningekuwa nimefikisha miaka 40.Ningechukua kadi ya CCM leo leo na kwenda kuchukua form.Wamwongeze hata wa kuzungia
Huwa anasema kazi ni ngumu ila anaipenda, sijawahi kumsikia akisema kuwa haipendi. Yaani ni kama kwenye masomo tu vile kwamba Biology ni ngumu sana, lakini unakuta mtu anaipenda pamoja na ugumu wake huo, kwa sababu anapenda huko mbele ya safari aje awe daktari!Na alivyokuwa akiulalamikia. Huyu kiongozi wetu! Sijui!
Watu waoga. Hivi hakuna mwana CCM wa kwenda kuchukua form ?Kweli watanzania sio jasiri. Ningekuwa nimefikisha miaka 40.Ningechukua kadi ya CCM leo leo na kwenda kuchukua form.
hahahahaha aisee ni kweli kabisa....kuna trafki nlimpiga saundi kwa road akaniambia....acha siasa ndugu[emoji1787][emoji1787]Ndio maana ukifanya kitu cha hovyo na usipokuwa serious kwenye ishu fulani unaambiwa 'hebu acha kufanya siasa'.............
Ushaambiwa imeprintiwa fomu moja tu. hizo zingine labda wamuombe mkulu fotokopiSasa ndo nini yani raisi Magufuli amechukua fom ya kugombea Uraisi?
Mbona Mwenyekiti Mbowe aligombea uwenyekiti wa Chadema wakati ni mmiliki?Sasa ndo nini yani raisi Magufuli amechukua fom ya kugombea Uraisi?
anaweza kuzuga kwa kumwambia Msukuma au kibajaji wale wabunge mbumbumbu vilaza wakachukue na wao ili kuwahadaa watanzania wajue CCM kuna demokrasiaMwingine nani kachukua?
Wataenda kibajaji Msukuma kuchukua form kwa ajili ya kuwahadaa watanzania tu