Furahi wewe kwa huyo jamaa yako aliyepata dili maana mizinga itapungua mimi shamba nawekeza!
Dah maisha yako ndio kama yale nimegundua ndio maana upo ufipa muda si mrefu utavaa kaniki na usinga!Umevurugwa wewe siyo bure
Dah maisha yako ndio kama yale nimegundua ndio maana upo ufipa muda si mrefu utavaa kaniki na usinga!
Nasikia fomu yenyewe ilikuwa ni hiyo hiyo tu.
Jitahidi msimu wa mavuno usiagize kuku,mbuzi na ng'ombe tu!Kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi
Jitahidi msimu wa mavuno usiagize kuku,mbuzi na ng'ombe tu!
Kwikwikwikakakaka sasa wale kangomba waliokukopesha mmbegu utawalipa nini kama si hayo magunia sawa sawa huna kitu!Mimi hapa nina zaidi ya magunia 70 ya mpunga, mahindi ni gunia 40,maharagwe gunia 40,karanga gunia 30 sina mashaka na maisha
Ilibaki moja tu kwani wengi waliwahi kuzichukua, yeye alichelewa kama alivyofanya Mbowe.Nasikia fomu yenyewe ilikuwa ni hiyo hiyo tu.
Hana mshindani ndani ya chamaAnashindana na Nani hapo ccm?
Mkuu iliandaliwa moja tuIlibaki moja tu kwani wengi waliwahi kuzichukua, yeye alichelewa kama alivyofanya Mbowe.
Hiyo itatokea 2025, sasa hivi tunaenda na Magu.Mtifuano ungekuwa mkali kama hawa pia wangechukua fomu Kinana, Membe na January,
Habari za kukopa mbegu hizo kwangu ni hadithiKwikwikwikakakaka sasa wale kangomba waliokukopesha mmbegu utawalipa nini kama si hayo magunia sawa sawa huna kitu!
Mara ya kwanza alisema amesukumizwa na Leo kasukumizwana nani?
2015 Magufuli hakuwa na nguvu kisiasa kakini alipitishwa na chama kugombea mbele ya vigogo na "huyu mwenzetu". Kwa sasa Magufuli siyo tu amejijengea jina kubwa nchini hata kimataifa kwa umahiri na umakini wake katika maamuzi, utawala, uongozi na uwajibika kwenye utendaji.Mtifuano ungekuwa mkali kama hawa pia wangechukua fomu Kinana, Membe na January,
Anaweza akawa amenogewa akawaomba waje wamsukumize tena...Mara ya kwanza alisema amesukumizwa na Leo kasukumizwana nani?