Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wa CCM, Dkt. John Magufuli achukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania kwa muhula wa pili

Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wa CCM, Dkt. John Magufuli achukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania kwa muhula wa pili

Mimi hapa nina zaidi ya magunia 70 ya mpunga, mahindi ni gunia 40,maharagwe gunia 40,karanga gunia 30 sina mashaka na maisha
Jitahidi msimu wa mavuno usiagize kuku,mbuzi na ng'ombe tu!
 
Mimi hapa nina zaidi ya magunia 70 ya mpunga, mahindi ni gunia 40,maharagwe gunia 40,karanga gunia 30 sina mashaka na maisha
Kwikwikwikakakaka sasa wale kangomba waliokukopesha mmbegu utawalipa nini kama si hayo magunia sawa sawa huna kitu!
 
Mtifuano ungekuwa mkali kama hawa pia wangechukua fomu Kinana, Membe na January,
2015 Magufuli hakuwa na nguvu kisiasa kakini alipitishwa na chama kugombea mbele ya vigogo na "huyu mwenzetu". Kwa sasa Magufuli siyo tu amejijengea jina kubwa nchini hata kimataifa kwa umahiri na umakini wake katika maamuzi, utawala, uongozi na uwajibika kwenye utendaji.

Itakuwa busara na ITAPENDEZA iwapo vyama vingine vya siasa, kama TLP, watamuunga mkono Magufuli kama mgombea wao. Wakifanya hivyo wananchi watawaelewa na angalau kuwapa kura kwa baadhi ya madiwani na wabunge.

MAENDELEO HAYANA CHAMA
 
Baada ya Jiwe kuchukua fomu wamefunga na ofisi kuzuia wanachama wengine wasichikue fomu.
 
Wanasiasa ni kama panya wanang'ata na kupuliza.

Sikudhani kama Magufuli angechukua fomu ya ugombea, vile alikuwa akilalamika kazi ya Urais ni ngumu na anatamani amalize apumzike. Kumbe bado anataka!

Na sidhan Kama atatamani kuishia 2025.

IMG_20200617_202444.jpeg


Mr mkiki.
 
Ccm watu wa ajabu eti kuchukua form jambo la hiari semeni tu mmekatazwa kama mnavyokatazwa kila siku sasa form ya nn kama hakuna mwingine
 
Kuna kajimsemo pale Lumumba kanaprndwa sana, "Ni desturi iliyojiwekea chama" ikiwa ni pamoja na kumuwachia raisi aliyepo kuendelea kugombea bila ya kupingwa ili atimize mihula miwili. Nina masuala mawili kwao

1. Jee fomubya kugombea uraisi ndani ya CCM imechapishwa moja tu?
2. Kama inajulikana ni nani anagombea na ni pekee sasa hiyo fomu ya kugombea niya nini?
 
Back
Top Bottom