Mwenyekiti wa CCM hataki kura za "MASHETANI"?!

Kwa yanayoendelea hapa ninahakika Maza ameshakubali kutokuendelea .

Ameshapokea ushauri kuwa No ,ishia hapa hapa ,so kinachofanyika hapo nikutapika nyongo ili abaki salama ndani .

Tukubali tu kuwa Mama hayupo sawa.

Tusilegeze kamba ,tuendelee kumsimanga hadi akufe kabisa .
 
Kama wewe ni shetani na unajijua ni shetani, usimpigie kura. Sisi wapiga kura wake tupo.
 
Tatzo lako unaropoka na hujui unachosema unadhan ukipewa hizo elfu 35 za kuweka vocha na kucoment ujinga ,,mwakasege kanisa lake linaitwaje na lipo wap? Una Hakka ana kanisa lake la kilokole?
 
Lini CCM ilipata ushindi kwa kura?
 
Watu wa saikolojia mchunguze kna sehemu hapajakaa sawa . Sjui umri au gender.
 
Hivi hii si ndio wanaita majungu unaweza kualikwa KKKT ukawanga RC au CCT au CPTC kesho ukienda RC utawananga KKKT hii haiko sawa.Naamini viongozi wa KKKT hawakufurahishwa ila kwa vile wamewaalika watatulia tu.Viongozi wetu wapunguze resentments
 
Hata mimi sizitaki
 
Samia hategemei kura.

Alishasema mkimpigia kura au msimpompigia kura CCM itashinda tu.
 
Hapa kakosea kabisaaaaa! Maana kanisa la gwajima ni wakristo wale na maana yake wakristo pia ni mashetani. Maana hata kiongozi wa kanisa KATOLIKI Padre kitima alivamiwa Kwa lengo la kuuwawa hivyo naye ni shetani na waumini wake.
Sasa watampigia kura raia Gani?
 
We ndiyo wale "Mama unaupiga mwingi " huna baya ,unakubalika kwa wananchi " kumbe ni HOVYO KABISAAA
Hao hawawezi kukuelewa Kuna watu anawakumbatia nafikiri wale ndo wabaya ngoja akistaafu akawa nje ndo atakubali
 
Shetani katika ubora wake. Lkn kkkt hamtoshewi na sadaka zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…