B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,640
- 6,422
Mama huyo ana matatizo kiukweli. Angekaa kimya na kuongea vitu hata vya matumaini badala yake ana haribu zaidi. Huyu angeimba taarabu tu. Mfumo mbovu umetuletea watu kama hawa kuwa viongozi.Sometimes kukaa kimya ni busara sana kwa watu makini mama anapugukiwa nini akikaa kimya kila mtu mwenye akili timamu anajua Gwajima hana kosa lolote japokua anaweza kua na utovu wa nidhamu lakini kukemea Utekaji sio jambo baya
Good! Know your place.sawa ndugu yake shetani
Ungenda iwe lini?Huyu anayeua vijana wetu bila kosa lolote kwa kutumia vikosi vya wahuni na wengine wanalawitiwa ndiye anaita wengine ni watumishi wa shetani? Aendelee kumkejeli Mungu tu na li-ushungi lake, kuna siku Mungu ataonyesha ukuu wake.
OLE WAKE MWANACHI ATAKAYE PANGA MSTARI KUPIGA KURANimeshangazwa na kauli ya ajabu Sana na iliyojaa visasi, hasira na chuki kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM.
Kutamka kuwa "Wengine ni watumishi wa Shetani" huku tukijua fika anamlenga Nani ni kutowatendea haki.
Leo hiii Gwajima na wafuasi wake wakishikilia msimamo wao wa kuitwa shetani, au watumishi wa Shetani, hizo kura mtapata Wapi?
Tujifunze kuvumilianaView attachment 3356734
Utekaji na mauaji ndiyo ushetani mungu keshaamua sasa utekaji mwisho kifuatacho ni utabiri wa Marehemu Shekhe Yahya utimie tu na Dr mpango awe Rais wa mpito kisha watesi wa sasa wafikishwe kwenye mahakama za uhalifu za kimataifa The HagueNimeshangazwa na kauli ya ajabu Sana na iliyojaa visasi, hasira na chuki kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM.
Kutamka kuwa "Wengine ni watumishi wa Shetani" huku tukijua fika anamlenga Nani ni kutowatendea haki.
Leo hiii Gwajima na wafuasi wake wakishikilia msimamo wao wa kuitwa shetani, au watumishi wa Shetani, hizo kura mtapata Wapi?
Tujifunze kuvumilianaView attachment 3356734
Huyo Samia ndiyo wa kutuambia kwamba watumishi wanaojifanya watumishi wa Mungu lakini ni wa shetani, amewajuaje? Na hao wanaobaka na kulawiti anaowahifadhi na kuwataka wafanye hivyo, ni watumishi wa nani? Acha kuteka na kuua watanzania hasa watanganyika. Kama unaona huwezi kukosolewa ungeacha huo urais, kwani ulilazimishwa kuwa rais? Ondoka.Nimeshangazwa na kauli ya ajabu Sana na iliyojaa visasi, hasira na chuki kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM.
Kutamka kuwa "Wengine ni watumishi wa Shetani" huku tukijua fika anamlenga Nani ni kutowatendea haki.
Leo hiii Gwajima na wafuasi wake wakishikilia msimamo wao wa kuitwa shetani, au watumishi wa Shetani, hizo kura mtapata Wapi?
Tujifunze kuvumilianaView attachment 3356734
Aibu sanabi mkubwa kapanic
Nimeshangazwa na kauli ya ajabu Sana na iliyojaa visasi, hasira na chuki kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM.
Kutamka kuwa "Wengine ni watumishi wa Shetani" huku tukijua fika anamlenga Nani ni kutowatendea haki.
Leo hiii Gwajima na wafuasi wake wakishikilia msimamo wao wa kuitwa shetani, au watumishi wa Shetani, hizo kura mtapata Wapi?
Tujifunze kuvumilianaView attachment 3356734
Watanzania wenye Akili Timamu hawatajitokeza kupiga kura bila kuwepo Tume huru ya uchaguziOLE WAKE MWANACHI ATAKAYE PANGA MSTARI KUPIGA KURA
OLE WAKE MWALIMU ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
OLE WAKE MGAMBO ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
Mwisho wa ubaya ni AibuAibu sana
Anayewatuma ndio Tbilisi mwenyeweWatekaji na wafiraji ndio watumishi wa mungu wake
Gwajima ataenda UN kuongea na Taasisi za haki za binadamu zoteMpaka sasa nashindwa kuelewa hivi hizi hasira za Maza dhidi ya Gwajima ni kwa sababu ya hiyo press au kuna mengine?
Kinachiendelea sasa ni kutafuta njia ya kumnyima Gwajima jukwaa la kuzungumza.
Huyu kwa alipofikia anaonekana dhahiri haogopi chochote!Huyu anayeua vijana wetu bila kosa lolote kwa kutumia vikosi vya wahuni na wengine wanalawitiwa ndiye anaita wengine ni watumishi wa shetani? Aendelee kumkejeli Mungu tu na li-ushungi lake, kuna siku Mungu ataonyesha ukuu wake.
Dikiteta mama iddy Amin sasa kachanganyikiwa laana ya walotekwa na kuwaua mzimu wa magufuli waliyemuua vyote vimeamka lazima Dr mpango awe Rais wa mpito kwani mungu kchoka na udikiteta wakeNi kauli ya kibaguzi ktk hafla ya dini
Mkoloni kaburu ibirisi Dikiteta kutoka Zanzibar watanganyika wamechoka kutolewa kafara kupitia utekaji na mauaji yake, wanataka muungano Ufe ili Tanganyika iwe huru tuchague Rais wetu mwema asiye shetani kama mama iddy Amin DadaHuyu kwa alipofikia anaonekana dhahiri haogopi chochote!
Ushetani ibirisi wote wapo ccm ya Makala IGP Bashungwa na chawaccm wakiokwapua iHazina bilion 15 kazi maalum ya kudidiimiza Demokrasia, kuwateka kuwaua kuwabambikia kesi wakosoaji wa ushetani wa Mama Iddy Amina Dada kaburu Dikteta tokea ZanzibarTukumbuke mashetani hao hao ndo wanaopiga kura. Pili usihukumu usije ukahumumiwa(Mathayo 7:1). Kama viongozi wanaongoza mashetani(mapepo) basi TZ imajaa mapepo kweli kweli.
Muungano ufe?. Sidhani kama itakuja kutokea. Trend inaonesha kila mwanaharakati au mwanasiasa aliyeshupalia Muungano ufe,kafa yeye. Nadhani miongoni mwa miiko mikali nchi hii ni suala la Muungano(mtu akigusa hapa ananasa chap), anyway hata hivyo hizi ni hisia zangu tu!Mkoloni kaburu ibirisi Dikiteta kutoka Zanzibar watanganyika wamechoka kutolewa kafara kupitia utekaji na mauaji yake, wanataka muungano Ufe ili Tanganyika iwe huru tuchague Rais wetu mwema asiye shetani kama mama iddy Amin Dada
ccm imegawanyika zipo kambi 3 ya kwanza kambi ibirisi chawaccm ikiongozwa na makala na mashetani wenzake, kambi ya pili ya kikwete wasiomtaka Nchimbi awe makamu wa Rais maana atafukua makaburi yao, kambi ya Tatu na ndiyo yenye nguvu kubwa ni kambi magufuli, hawa ndiyo wanakerwa na ushetani wa mama iddy Amini Dada na wao wameuamsha mzimu wa magufuli umtafune huyo Dikteta mpaka ccm wenyewe wamkatae na kumwengua kwenye mbio za UraisMama huyo ana matatizo kiukweli. Angekaa kimya na kuongea vitu hata vya matumaini badala yake ana haribu zaidi. Huyu angeimba taarabu tu. Mfumo mbovu umetuletea watu kama hawa kuwa viongozi.