Mwenyekiti wa CCM hataki kura za "MASHETANI"?!

ccm ya kikwete ya Akina January makamba Nape na vile vikundi vya uchakachuaji hawamtaki Nchimbi ingawa huwa wanazuga kuongea nae kinafiki, ccm ya Akina Bashiru , Biteko, majaliwa, Dr mpango ina mipango yake kimya kimya na ccm ya kambi magufuli wao wapo busy kuhakikisha Utabiri wa marehemu Shekhe Yahya unatimie ili aje Rais Mtanganyika wamechoka kutawaliwa kidikteta na mkoloni kaburu toka Zanzibar wanatani muungano ufe ili Tanganyika iwe huru iondokana na utekaji wa Dikteta mzanzibar
 
Utekaji na wizi wa bikini 15 walizokwapua Hazina kienyeji kwa kazi maalum ndiyo ushetani wenyewe, kuwatesa kuwabambikia kesi chadema ndiyo ushetani wenyewe kufunga kanisa kwa njia haramu ndiyo ushetani wenyewe
 
Ina maana viongozi wa Africa wamefika mahali ambapo hawataki kukemewa au kuambiwa ukweli.Naomba tuelewe jamani kuwa kiongozi sio kigezo kujua kila kitu.Saa nyingine uongozi ni bahati.Sasa tutumie bahati vizuri.
 
S
Huyu Mama mpaka ikifika octaba tutaona mengi
 
Tatzo lako unaropoka na hujui unachosema unadhan ukipewa hizo elfu 35 za kuweka vocha na kucoment ujinga ,,mwakasege kanisa lake linaitwaje na lipo wap? Una Hakka ana kanisa lake la kilokole?
anakurupuka na kuandika asichokijua
 
Hivi hii si ndio wanaita majungu unaweza kualikwa KKKT ukawanga RC au CCT au CPTC kesho ukienda RC utawananga KKKT hii haiko sawa.Naamini viongozi wa KKKT hawakufurahishwa ila kwa vile wamewaalika watatulia tu.Viongozi wetu wapunguze resentments
ina maana KKKT hawakusoma upepo wa kisiasa unavumaje wiki hii mpaka wamualike kuwa mgeni rasmi? je wakiambiwa wametumia event hiyo kukandia makanisa mengine ili wao waonekane wana Mungu na wengine wa shetani itaonekana vipi? maana kuna kunyang'anyana waumini kuhama hama madhebu kwa kuvutiwa na mafundisho yenye kuleta faraja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…