Mwenza wangu hapendi tendo la ndoa

Mkuu ni nadra kwa sababu sisi ni binadamu. Ukweli ni kwamba tunachokana ila tunalazimika sababu ya utii wa kiapo cha ndoa. Sasa ili kuendelea ni lazima either itumike gharama kuboost mood au mbakane na hiyo hali ya kubakana ikubalike. By the way mkishafikisha 50's mnakuwa mmezoeana sana sex mnaweza kaa hata 3month.
 
Usijali mkuu,baadhi ya wanawake libido yao iko chini sana. Hili jambo ulipaswa kulijua mapema. Mtengenezee mazingira ya kumhamasisha ila pia tafuta mchepuko uwe unaponea huko mara kwa mara. Jambo la msingi mpende na umuheshimu mkeo kwa mapungufu yake
 
Wee ukiwa na mke tuu utakufa mapema nakwambia
Mungu hukupa wa kufanana nae na sio kilandoa inamajuto japo nyingi ni hivo
ww ndo utakufa kbla honey moon haijaisha🀣🀣🀣🀣🀣maana huna uvumilivu kabisa
 
Mungu hukupa wa kufanana nae na sio kilandoa inamajuto japo nyingi ni hivo
ww ndo utakufa kbla honey moon haijaisha🀣🀣🀣🀣🀣maana huna uvumilivu kabisa
Mie najijua kabisa kuwa nikipenda napenda hovyo mwishowe napiga mtu risasi.
Sasa kuondoka a na hilo ndio maana naona bora nisioe. Nilishaumizwa na mwanamke mara moja likawa fundisho sasa ni kugeggedana na kuoeana raha tuu
 
Suala la muda tu ilo utakuja kutuanzishia Uzi vinamwisho na ndege mjanja hunasa kwenye tundubovuπŸ˜‚
 
Suala la muda tu ilo utakuja kutuanzishia Uzi vinamwisho na ndege mjanja hunasa kwenye tundubovuπŸ˜‚
Labda uninase wewe. Ila wanawake kusema niweke ndani kama mke hapana aisee siwezi. Nitaua hilo nalijua.
 
Kumbe mpaka uombe,unamgusa tu kuonyesha ishara kuwa sasa ni wakati wa vita,akikaa sawa unafanya shambulizi,we vipi bhana.Wenzio ukikataliwa huo usiku hakuna kulala,ukimuona anasinzia tu unamtikisa,akishaona sasa imefika saa 8 na hujakata tamaa lazima achaguwe kati ya mawili,aendelee kutikiswa mpaka kukuche au akupe haki yako...
 
Wacha bwana!!
 
[emoji1787][emoji1787]
 
Ushauri wa bure: ili mwanaume uishi kwa amani na furaha kwenye ndoa ni vyema ukawa na michepuko miwili visu kweli kweli alafu hakikisha mkeo anawajua hao michepuko na pia anatambua kuwa yeye ndio number one priority basi.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…unatak michepuko ya watu ikarogwe
 
Tatizo dogo Kama hili unalileta hapa mjukuu wangu?
Kwa kuanzia fanya hivi...
Kila simu yako ikiita ichukue fasta ukaongee ukiwa nje au mbali na wife.
Chelewa kurudi.
Thank me later
Anipe hiyo kazi ya kuwa nampigia kila akiwa kwake πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…mpaka mkewe anyooke
 
Hivi wewe kweli unaweza kosa hamu ya kuliwa na mume ambaye ametoa mahari kwenu na mkakubaliana kulala uchi pamoja mbele ya mashahidi?
hata me nashangaaa inakuaje πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…