Mwenza wangu hapendi tendo la ndoa

Mwenza wangu hapendi tendo la ndoa

Unajua mimi naamini ili tendo linoge, inatakiwa litokee automatically sio mpaka uombe au muweke mipango na kuingia gharama ndio mtu awe kwenye 'mood'..

Mfano mnapoanza mahusiano, hua hamna cha nini wala nini yani mkifika kitandani wote wawili mnakua tayari mpo kwenye mood iwe ni geto, lodge au popote na gemu inakua na ladha balaa.

Gemu ya aina hiyo utaipata tu kwa mpenzi mpya au kwa mchepuko. Kwa mke wa ndoa aisee ni nadra sana..
Mkuu ni nadra kwa sababu sisi ni binadamu. Ukweli ni kwamba tunachokana ila tunalazimika sababu ya utii wa kiapo cha ndoa. Sasa ili kuendelea ni lazima either itumike gharama kuboost mood au mbakane na hiyo hali ya kubakana ikubalike. By the way mkishafikisha 50's mnakuwa mmezoeana sana sex mnaweza kaa hata 3month.
 
Usijali mkuu,baadhi ya wanawake libido yao iko chini sana. Hili jambo ulipaswa kulijua mapema. Mtengenezee mazingira ya kumhamasisha ila pia tafuta mchepuko uwe unaponea huko mara kwa mara. Jambo la msingi mpende na umuheshimu mkeo kwa mapungufu yake
 
Wee ukiwa na mke tuu utakufa mapema nakwambia
Mungu hukupa wa kufanana nae na sio kilandoa inamajuto japo nyingi ni hivo
ww ndo utakufa kbla honey moon haijaisha🤣🤣🤣🤣🤣maana huna uvumilivu kabisa
 
Mungu hukupa wa kufanana nae na sio kilandoa inamajuto japo nyingi ni hivo
ww ndo utakufa kbla honey moon haijaisha🤣🤣🤣🤣🤣maana huna uvumilivu kabisa
Mie najijua kabisa kuwa nikipenda napenda hovyo mwishowe napiga mtu risasi.
Sasa kuondoka a na hilo ndio maana naona bora nisioe. Nilishaumizwa na mwanamke mara moja likawa fundisho sasa ni kugeggedana na kuoeana raha tuu
 
Mie najijua kabisa kuwa nikipenda napenda hovyo mwishowe napiga mtu risasi.
Sasa kuondoka a na hilo ndio maana naona bora nisioe. Nilishaumizwa na mwanamke mara moja likawa fundisho sasa ni kugeggedana na kuoeana raha tuu
Suala la muda tu ilo utakuja kutuanzishia Uzi vinamwisho na ndege mjanja hunasa kwenye tundubovu😂
 
Suala la muda tu ilo utakuja kutuanzishia Uzi vinamwisho na ndege mjanja hunasa kwenye tundubovu😂
Labda uninase wewe. Ila wanawake kusema niweke ndani kama mke hapana aisee siwezi. Nitaua hilo nalijua.
 
Habari wakuu,

Leo nakuja na shida yangu hii labda mnaweza kunishauri. Mke wangu hapendi kufanya tendo la ndoa kabisa.

Miezi kadhaa baada ya kuoana alipata ujauzito na tabia hii ndipo nilipoanza kuiona nikajua labda kwasababu ya ujauzito. Alipojifungua na kupumzika mambo ni yale yale, hatufanyi hadi nianze mimi na kuna wakati namuomba anasema hayuko vizuri siku hiyo inapita kavu.

Nimewahi kumuuliza kwanini hajisikii, hana jibu zaidi ya kujibaraguza tu na kuacha lipite. Mwanzo wa ndoa aliwahi kuanzisha kuomba game nadhani alikuwa anatimiza funzo la somo ila kwa sasa daah!... Yani nikikaa kimya mimi hata mwezi unaisha bila kufanya lolote.

Kuna wakati nahisi kama nambaka maana naomba omba kila wakati alafu mwenzangu hana muitikio. Hapa naandika uzi huu amejilaza mwenyewe hana habari wakati tangu jumapili niliomba mchezo akanambia yupo kwenye siku zake hadi leo hata hashtuki kwamba naweza kupata tamaa ya kuchepuka.

Najiuliza ndivyo alivyoumbwa, anachepuka, ana jini mahaba au anajichua? Maana kuna siku nilimuona kama anaweweseka kitandani niliponyanyuka akashtuka sana.

Naomba maoni yenu kiutuuzima bila kejeli tafadhali.
Kumbe mpaka uombe,unamgusa tu kuonyesha ishara kuwa sasa ni wakati wa vita,akikaa sawa unafanya shambulizi,we vipi bhana.Wenzio ukikataliwa huo usiku hakuna kulala,ukimuona anasinzia tu unamtikisa,akishaona sasa imefika saa 8 na hujakata tamaa lazima achaguwe kati ya mawili,aendelee kutikiswa mpaka kukuche au akupe haki yako...
 
Wanawake wakiolewa huwa wana tabia ya kuridhika na kuacha kutimiza mambo muhimu kama hayo.

Pili wanawake huwa wanakosa hisia ikiwa huwatimizii mahitaji yao..je hili likoje?.

Tatu ikiwa umeyumba kiuchumi pia huwa wanatabia kama hiyo...muda mwingi wanawaza na kuwa na stress.

Jambo muhimu..hebu jaribu kumtoa out, hakikisha anakula chochote na kunywa chochote akitakacho, uone mkirudi nyumbani kama atakunyima.
Mara nyingine wanaume tuwe wabunifu kwa hawa viumbe...miili yao husinyaa kwa vitu vidogo lkn pia huchangamka kwa vitu vidogo vya ubunifu.

ikishindikana👇👇👇

Kaa naye mweleze unavyojisikia...na umuonye kuwa tabia hiyo ikiendelea itakulazimu utafute. mwanamke mwingine.

Evelyn Salt TIA NENO HAPA PIA
Wacha bwana!!
 
Wazungu wana msemo wao "Marriage is the end of sex"

Kiuhalisia bila kumumunya maneno, watu mkisha oana bana, na mkaishi wote for some years, automatically kunakua hakuna jipya tena! Hakuna cha outing wala nini kitakachosaidia. Na hata ikisaidia, itasaidia kwa siku hiyo tu, baada ya hapo mnarudi kule kule. Ukiongeza na majukumu ya kimaisha, watoto nk yani sex inasahaulika kabisa hasa kwa upande wa mwanamke.

Hili tatizo huwa halina solution zaidi ya kuchepuka tuu. Tusidanganyane.
[emoji1787][emoji1787]
 
Ushauri wa bure: ili mwanaume uishi kwa amani na furaha kwenye ndoa ni vyema ukawa na michepuko miwili visu kweli kweli alafu hakikisha mkeo anawajua hao michepuko na pia anatambua kuwa yeye ndio number one priority basi.
😅😅😅😅😅😅unatak michepuko ya watu ikarogwe
 
Tatizo dogo Kama hili unalileta hapa mjukuu wangu?
Kwa kuanzia fanya hivi...
Kila simu yako ikiita ichukue fasta ukaongee ukiwa nje au mbali na wife.
Chelewa kurudi.
Thank me later
Anipe hiyo kazi ya kuwa nampigia kila akiwa kwake 😅😅😅😅mpaka mkewe anyooke
 
Hivi wewe kweli unaweza kosa hamu ya kuliwa na mume ambaye ametoa mahari kwenu na mkakubaliana kulala uchi pamoja mbele ya mashahidi?
hata me nashangaaa inakuaje 😅😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom