Mwenza wangu hapendi tendo la ndoa

1)Humpi hela binafsi mwanaume ambaye hanipi hela hata siezi mchangamkia namuona kama bro tu

2) Humbembelezii, humsifiii ,humdekezi
3) Ana miez saba uupo home tu humpi ruhusa akasafishe macho au humtembezi tembezi

Kama upo hivi jirekebishe bro
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…unatak michepuko ya watu ikarogwe
Sasa wairoga michepuko ya nini jamani....wee unatakiwa ushukuru kuwa wanakupunguzia idadi ya magoli unayofungwa na mumeo
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€Daaa wew ndo kibokoo... Mwanamke ndani ya ndoa akishaanza kutumia uchi kama silahaa ya kukucontrol na kukufanya ufanye anayoyataka umekwishaaa...
 
Wanawake hatuna asili ya kuanza kutaka kufanywa.

Asili yetu ni kubembelezwa, kushikwa kuambiwa maneno mazuri tunaishia kuliwa.
Watu wengi wameongea mengi lakini kama mwanamke chukua hili pia wanaume na mwanamke Mungu ametuumba tofauti sana nasema sana.

Hivyo mwanamke kuomba omba mchezo inahitaji ujasiri pia mwanamke akishazaa vitu vingi vinabadilika sana wachache waliojalia hawaangukii hapa kwenye mabadiliko ya kimaumbile ile hamu inakata ongezea na njia za uzazi wa mpango ndo kabisa.

Msiwahukumu wanawake jamani naongea ninachokijua,bahati mbaya uwe mme mwenye gubu muda wote kulalamika tu ndo kabisa hisia hakuna kabisa.

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Kiufupi hana mapenz nawe moyoni kabisa,kwenye ndoa aliingia tu asifike kaolewa
 
Point ya kwanza nakutana na hoja za msingi sana, asante sana mkuu.
Kwenye kumridhisha sina shida labda niongeze mbinu za kumfikisha maana nguvu za kiume si tatizo kwangu.

Kuna jambo pia hapa umenifumbua, ukweli sasaivi nimeyumba kidogo kiuchumi. Nilikuwa na tabia ya kumpa kiasi cha pesa kila mwezi kwa matumizi yake binafsi lakini kwa sasa nimepunguza kiwango na kuna mwezi unapita bila bila na hili la kumtoa out naona ni muhimu pia nitalifanyia kazi asipobadilika nafata hatua ya mwisho NATAFUTA
 
Jifunze mbinu thabiti za kumkojolesha huyo mke wako,
Mwanamke ukimchakata vyema ukamfikisha kileleni kamwe hawezi vunga linapokuja swala la kunyanduana, tena wao ndio huwa wanahitaji mara kwa mara

Kingine mhudumie vizuri mkeo(fweza=matunzo)
Sawa mkuu, well noted πŸ˜›
 
Alikuwa anaweweseka kivipi?
Alikuwa amelala chali (cha mende) kakunja miguu na kuitanua kajifunika lakini hakuwa na utulivu, niliponyanyuka kuangalia vizuri aliwahi kushtuka. Niliwaza aidha ni wachawi wanakula mzigo au jini mahaba lakini kitendo cha kushtuka kwake haraka kilinifanya niamini labda pia alikuwa anajichua
 
Wanaokejeli hawajui mambo ya ndoa ndomana nilisisitiza maoni ya kiutuuzima na hekima, asante sana mkuu hii shida ni kubwa sana kwenye ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…