Mwenzenu nimeyatimba

MoneyHeist4

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2017
Posts
2,134
Reaction score
3,192
Nyie wanawake mbona hamjijali kiasi hiki, Msichana unaonekana mzuri kwa nje ila kwa ndani ni balaaa una magonjwa kama yote.

Nilikutana na ka Binti kazuri nikakaamini nikakapelekea moto kavu kavu, leo siku ya nne nimeanza kusikia maumivu kila nikikojoa pia natokwa kama usaha nikikojoa, sijui ndo UTI sijui Gono.



Hiki ndo naendelea nacho kwa sasa.
 
Binti mzuri ni cha wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…