Mwenzenu nimeyatimba

Mwenzenu nimeyatimba

Nyie wanawake mbona hamjijali kiasi hiki, Msichana unaonekana mzuri kwa nje ila kwa ndani ni balaaa una magonjwa kama yote.

Nilikutana na ka Binti kazuri nikakaamini nikakapelekea moto kavu kavu, leo siku ya nne nimeanza kusikia maumivu kila nikikojoa pia natokwa kama usaha nikikojoa, sijui ndo UTI sijui Gono.

View attachment 2897819

Hiki ndo naendelea nacho kwa sasa.
Sasa kati ya huyo demu na wewe ambae umeenda kavu kwa demu ambae humjui, nani ambae hajijali?

Acha kuangushia watu wengine lawama kwa makosa uliyofanya wewe.
 
Hizo dawa, nimemwambia dactari wangu ndo akaniandikia kwenda kununua.

Kunywa vidonge viwili vya Azuma,
Nenda dukani chukua cefixime 400mg, kidonge kimoja,

Kunywa kwa pamoja,
Kisha kaa siku 5 bila sex, usije muambukize mwenzako,
Kisha maisha yaendelee siku ya 6
 
Back
Top Bottom