Mwenzenu nimeyatimba

Mwenzenu nimeyatimba

Kwa hiyo wanaume huwa hamna UTI mnaambukizwa na wanawake tu
Mwanaume anatoboaje na UTI/gonorrhea? Ngumu sana masaa tu 24 mkojo unatoka kwa maumivu mixer pus! Lazima utafute sindano ya ceftriaxone/powersef/Xone injection ukazie na cefixime 400mg na Azuma. Ila wanawake mmeweka maagano na hayo magonjwa mnakaa nayo miezi.
 
Nyie wanawake mbona hamjijali kiasi hiki, Msichana unaonekana mzuri kwa nje ila kwa ndani ni balaaa una magonjwa kama yote.

Nilikutana na ka Binti kazuri nikakaamini nikakapelekea moto kavu kavu, leo siku ya nne nimeanza kusikia maumivu kila nikikojoa pia natokwa kama usaha nikikojoa, sijui ndo UTI sijui Gono.

View attachment 2897819

Hiki ndo naendelea nacho kwa sasa.
Dawa zote hizo za Nini,??

Wakati Hiyo nitrof..... Inatosha kabisa kwa hilo tatizo....
 
Nyie wanawake mbona hamjijali kiasi hiki, Msichana unaonekana mzuri kwa nje ila kwa ndani ni balaaa una magonjwa kama yote.

Nilikutana na ka Binti kazuri nikakaamini nikakapelekea moto kavu kavu, leo siku ya nne nimeanza kusikia maumivu kila nikikojoa pia natokwa kama usaha nikikojoa, sijui ndo UTI sijui Gono.

View attachment 2897819

Hiki ndo naendelea nacho kwa sasa.
Ferooz - starehe
 
Back
Top Bottom