Mwenzenu nimeyatimba

Mwenzenu nimeyatimba

Kwa hiyo wanaume huwa hamna UTI mnaambukizwa na wanawake tu
Duuuh! mwanaume si analala na mwanamke,namna gani hapa unauliza kama wanaume huwa tunakua na U.T.I ilhali mleta mada ni mwanaume na ili apate maambukizi kwenye mfumo wa mkojo,uwezekano unakua mkubwa endapo akijamiiana?
Aisee
 
Kwan mwanaume hawezi pata UTI peke yake
 
Back
Top Bottom