Mwenzenu nimeyatimba

Mwenzenu nimeyatimba

Mkuu unajishaua na azuma wakati hujapima?Kwa taarifa yako Gono si gonjwa pekee linalotokana na uchakataji holela wa mbususu,Kuna pangusa huo una erase pumbu and every thing.Think about it.
 
Nyie wanawake mbona hamjijali kiasi hiki, Msichana unaonekana mzuri kwa nje ila kwa ndani ni balaaa una magonjwa kama yote.

Nilikutana na ka Binti kazuri nikakaamini nikakapelekea moto kavu kavu, leo siku ya nne nimeanza kusikia maumivu kila nikikojoa pia natokwa kama usaha nikikojoa, sijui ndo UTI sijui Gono.

View attachment 2897819

Hiki ndo naendelea nacho kwa sasa.
Haya mambo nimeacha siku hizi lakini nilikuwa lazima ninuse kwanza ndio kavu au ndomu
 
Nyie wanawake mbona hamjijali kiasi hiki, Msichana unaonekana mzuri kwa nje ila kwa ndani ni balaaa una magonjwa kama yote.

Nilikutana na ka Binti kazuri nikakaamini nikakapelekea moto kavu kavu, leo siku ya nne nimeanza kusikia maumivu kila nikikojoa pia natokwa kama usaha nikikojoa, sijui ndo UTI sijui Gono.

View attachment 2897819

Hiki ndo naendelea nacho kwa sasa.
Azuma vidonge 6 vyote vya nini au umepewa na nyongeza.
Hapana yeye hawezi kupona kwa hizo dawa,

Note : maumbile ni tofauti, labda yeye kama atakuwa ana-discharge na itching sehemu za siri..

Na suggest
. Cefixime 400mg 1 * 1 * 1 /7
. Secnidazole 2 * 1 *1/7
. Azithromycin 1g start
. Clotimazole V. Pessaries insert 1 tab OD for 6/7 days

Kama atakuwa anawashwa ikulu utampa na gel ya kupaka.
I See!!
 
Nyie wanawake mbona hamjijali kiasi hiki, Msichana unaonekana mzuri kwa nje ila kwa ndani ni balaaa una magonjwa kama yote.

Nilikutana na ka Binti kazuri nikakaamini nikakapelekea moto kavu kavu, leo siku ya nne nimeanza kusikia maumivu kila nikikojoa pia natokwa kama usaha nikikojoa, sijui ndo UTI sijui Gono.

View attachment 2897819

Hiki ndo naendelea nacho kwa sasa.
Na ukimwi ukapime
 
Hivi umeme bado upo?

Hapana yeye hawezi kupona kwa hizo dawa,

Note : maumbile ni tofauti, labda yeye kama atakuwa ana-discharge na itching sehemu za siri..

Na suggest
. Cefixime 400mg 1 * 1 * 1 /7
. Secnidazole 2 * 1 *1/7
. Azithromycin 1g start
. Clotimazole V. Pessaries insert 1 tab OD for 6/7 days

Kama atakuwa anawashwa ikulu utampa na gel ya kupaka.
Sawa mkuu ahsante
 
Back
Top Bottom