Nyuki1994
Member
- May 1, 2023
- 92
- 182
Kama usaha ushanza kutoka hiyo ndo dozi ya uhakika ata ukimshirikisha daktari wako atakupa majibu piaHizo nilizoweka hapo docta ndo kaniandikia.
Azuma 500mg x2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama usaha ushanza kutoka hiyo ndo dozi ya uhakika ata ukimshirikisha daktari wako atakupa majibu piaHizo nilizoweka hapo docta ndo kaniandikia.
Azuma 500mg x2
Mkuu hizo harufu unaamanisha Nini?Subiri ipite miezi mitatu ukapime ngoma,
Japo kwenye huu uzi kuna kaharufu ka tangawizi na hiliki kwa mbali.
Ahsante mkuu, nashukuru sana.Kama usaha ushanza kutoka hiyo ndo dozi ya uhakika ata ukimshirikisha daktari wako atakupa majibu pia
Kweli kabsa.Binti mzuri ni cha wote.
Sure. Nilitumia hii:Cefriaxone 1gm start then
Cefixime 400mg start
Azuma 1gm start. Hii ndo dizo hakika utapona kwa haraka
Hizo dawa, nimemwambia dactari wangu ndo akaniandikia kwenda kununua.Hizo dawa umeandikiwa hospital kabisa au umenunua mtaani 🤔
Naona regime tofauti na Gono kabisa,
Anyway mkuu, ajali kazini hio, kikubwa Mungu akusaidie upone
Kama usaha ushanza kutoka hiyo ndo dozi ya uhakika ata ukimshirikisha daktari wako atakupa majibu pia
Sasa kati ya huyo demu na wewe ambae umeenda kavu kwa demu ambae humjui, nani ambae hajijali?Nyie wanawake mbona hamjijali kiasi hiki, Msichana unaonekana mzuri kwa nje ila kwa ndani ni balaaa una magonjwa kama yote.
Nilikutana na ka Binti kazuri nikakaamini nikakapelekea moto kavu kavu, leo siku ya nne nimeanza kusikia maumivu kila nikikojoa pia natokwa kama usaha nikikojoa, sijui ndo UTI sijui Gono.
View attachment 2897819
Hiki ndo naendelea nacho kwa sasa.
Hapa pia nimepewa Nitrofurantoin Tablets BP 100mgSure. Nilitumia hii:
Ceftriaxone 1gm OD 3/7
Nisamehe mkuu. Kuamini kwangu kwa macho kuniponza.Sasa kati ya huyo demu na wewe ambae umeenda kavu kwa demu ambae humjui, nani ambae hajijali?
Acha kuangushia watu wengine lawama kwa makosa uliyofanya wewe.
Sasa mbona unatumia dawa nyingi zinazofanya kazi moja. Anza na moja moja. Ebu muulize vizuri Dkt.Hapa pia nimepewa Nitrofurantoin Tablets BP 100mg
Ngoma si Hadi mchubuane damu? Au hata kwa romance unaipata?UTI inahofiwa kana kwamba Watu walipimana ngoma
Next time uwe makiniNimeshamwambia atachukua tahadhari mimi sitoweka kambi tena kwake.
Ndo alizoniandikia nikaenda kununua.Sasa mbona unatumia dawa nyingi zinazofanya kazi moja. Anza na moja moja. Ebu muulize vizuri Dkt.
Dr wako jauNdo alizoniandikia nikaenda kununua.
Mkuu dose ina ina makosa au?Hio dose na mimi nimeshangaa sana
So Azuma na hiyo Nitrofurantoin ni kitu kimoja?Dr wako jau
Hizo dawa, nimemwambia dactari wangu ndo akaniandikia kwenda kununua.