Duuuh! mwanaume si analala na mwanamke,namna gani hapa unauliza kama wanaume huwa tunakua na U.T.I ilhali mleta mada ni mwanaume na ili apate maambukizi kwenye mfumo wa mkojo,uwezekano unakua mkubwa endapo akijamiiana?
Aisee