Mwezi wa Nne mchumba ananinyima unyumba wakuu nifanyaje?

Daaah usikute nd ukwel wenyew huu πŸ€•πŸ€•πŸ€•πŸ₯ΊπŸ₯Ί
Huo ndo ukwel hawa viumbe kama hana mambo mengi basi tendo anaweza toa tuu kwa mtu anaye muona ni salama kwake bila ivo hawezi
 
Kumekuwa na sitofahamu kati yangu na mchumba ang, last dance ilikuwa kama miez 4 iliyopita.. na kila nikimpangilia kuja ghetto ni kipengele aisee nifanyaje????
Ukiona unanyimwa ujue unambore .ujue huna ujanja ujanja kuchafuan tunbora abaki na hamu zake sio kua hana hamu ana hamu sana
2.kapata chombo kipya in town..kazi kwako kuamua
 
Kumekuwa na sitofahamu kati yangu na mchumba ang, last dance ilikuwa kama miez 4 iliyopita.. na kila nikimpangilia kuja ghetto ni kipengele aisee nifanyaje????
Usiwe mjinga
Chapa lapa hapo huna chako huyo ana mtu wake tayari
 
Kumekuwa na sitofahamu kati yangu na mchumba ang, last dance ilikuwa kama miez 4 iliyopita.. na kila nikimpangilia kuja ghetto ni kipengele aisee nifanyaje????
ONGEZA DAU LA $
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…