Mwigulu adai wananchi ndio walioshauri tuweke tozo

Yaani kaaa kwa kutulia mtoto mdooooogoooo, mnuka jasho ,kubwa jinga lisilo na akili a.k.a MNYONGE, sasa kwa taarifa yako kila mwaka v-8 za billions 600 zinaagizwa, V-8 MOJA NI MILLIONS 500 SAWA NA KITUO CHA AFYA

Zinajazwa mafuta full tank, full Ac na hakuna kuzimwa hata kama boss yuko bar na mrembo wa bongo movie wanakula manyama na kushushia na ma wine toka ufaransa

Kaa kwa kutulia weweeeee unalalamika tozo unadhani watoto wako watsomea kwenye nini bila tozo? madarasa yatajengwaje? vituo vya afya vitajengwaje?

Najua mimacho umetolea kwenye v-8 , yees ni lazima kila mwaka model mpya ikitoka waheshimiwa waipate sababu wanaumiza sana vichwa kuwatumikia nyie wanuka jasho msio na shukrani

Mmeletewa hadi wachezaji toka brazil, argentina kwenye team iliyoko singida lakini bado hamna shukrani, hela yenyewe ndogo inayovamiwa kwenye vi account vyenu mnaiona nyiiingi wenyeeewe, LAZIMA MUUMIE LA SIVYO SHULE NA ZAHANATI HAKUNA NAMBA NYINGINE YA KUJENGA

UNAIJUA V-8 WEWEEEEEEEE? MTOOOOTO M-LITTLE, MNUKA JASHO, KUBWA JINGA







 
Sawa kabisa, mie mmoja wapo 😁😁😁

Maumivu ni makali sana
 
Waliomshawishi Mwiguru wajitokeze hapa hapa tumalizane naoama lao ama letu
Kwanini wafanye maamuzi magumu kisiri siri?!!!!
 
Waliojiwa wananchi Ambao wako wanaendesha Mavieti.
.
Ila Watanzania Hawakuhojiwa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Duh !!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii nchi tutaona mengi

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
WANANCHI wa NCHI GANI HAO?Kama ni WATANZANIA MBONA WANAZISHANGAA HIZO TOZO?Tunaiomba Serikali iondoe hizo TOZO badala yake IBANE MATUMIZI YAKE
 
Jamaa amelaaniwa haswa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…