Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Zigo la misumari tumeangushiwa sisi...πππMwigulu uchumi kila kukicha unazidi kushuka inflation rate inazidi kupanda kaamua mzigo awatupie wananchi
Hakuna namna...ππDah nimelia sana π
Cha ajabu wanaomba wengine lakini wanatozwa wale ambao hawajaomba π€Kumbe wakati Kuna watanzania Kila siku wanalalamika kuwa tozo zimezidi,wapo watanzania wengine wanaozunguka kwenda kwa Waziri wa fedha kuomba Serikali iongeze TOZO!!??
View attachment 3022320
Lucas Mwashambwa na johnthebaptist lazima bila shaka watakuwa wanahusika kutaka tozo ziongezwe...ππ€£ππππ€π₯
Nabado had muhamie Burundi.Zigo la misumari tumeangushiwa sisi...[emoji23][emoji23][emoji23]
unamtukana ephen_ nkoiKwa hiyo akiambiwa tu na hao chawa wake anaobgeza tozo na hafanyi uchunguzi yy km waziri.Wasomi w bongo bwana fuken kabisa.
Tusiumize kichwa raia wenzangu,Kumbe wakati Kuna watanzania Kila siku wanalalamika kuwa tozo zimezidi,wapo watanzania wengine wanaozunguka kwenda kwa Waziri wa fedha kuomba Serikali iongeze TOZO!!??
View attachment 3022320
Lucas Mwashambwa na johnthebaptist lazima bila shaka watakuwa wanahusika kutaka tozo ziongezwe...ππ€£ππππ€π₯