Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kumbe wakati Kuna watanzania Kila siku wanalalamika kuwa tozo zimezidi,wapo watanzania wengine wanaozunguka kwenda kwa Waziri wa fedha kuomba Serikali iongeze TOZO!!??
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba September 1, 2022 alisema wananchi ndio walioshauri Serikali ipanue wigo wa tozo za miamala kwa kujumuisha miamala yote ya kielektroniki, ili wananchi wote wachangie maendeleo. Ameeleza kuwa awali miamala iliyokuwa ikitozwa ni iliyokuwa ikifanyika kwa simu pekee.
Lucas Mwashambwa na johnthebaptist lazima bila shaka watakuwa wanahusika kutaka tozo ziongezwe...😂🤣😛😆😃🤚🔥