Mwigulu adai wananchi ndio walioshauri tuweke tozo

Mwigulu adai wananchi ndio walioshauri tuweke tozo

Kumbe wakati Kuna watanzania Kila siku wanalalamika kuwa tozo zimezidi,wapo watanzania wengine wanaozunguka kwenda kwa Waziri wa fedha kuomba Serikali iongeze TOZO!!??

IMG-20240621-WA0020.jpg

Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba September 1, 2022 alisema wananchi ndio walioshauri Serikali ipanue wigo wa tozo za miamala kwa kujumuisha miamala yote ya kielektroniki, ili wananchi wote wachangie maendeleo. Ameeleza kuwa awali miamala iliyokuwa ikitozwa ni iliyokuwa ikifanyika kwa simu pekee.

Lucas Mwashambwa na johnthebaptist lazima bila shaka watakuwa wanahusika kutaka tozo ziongezwe...😂🤣😛😆😃🤚🔥
 
Ngoja na mimi nikamshauri anongeze mshahara kwa watumishi wa Umma kwa kima cha chini cha 6,000,000 nione kama atakubali.
Kama wananchi walitoa ushauri wa uwepo wa tozo yeye akaona sawa? Kichwa maji.
 
Nadhani amesikiliza Kwa makini hoja za wale watoto wa Gen Z pale Kenya

Nyerere aliwahi kusema " Sisi tunawapandikiza Vijana fikra zetu Ili wazibebe kama zilivyo ila huko mbele Vijana wa Siku hizo watakuja na Fikra zao ambazo Wazee tutakuwa tumepitwa na wakati"

Nimemuelewa Dr Mwigullu PhD na kiukweli yuko sahihi 😂😂
 
Kumbe wakati Kuna watanzania Kila siku wanalalamika kuwa tozo zimezidi,wapo watanzania wengine wanaozunguka kwenda kwa Waziri wa fedha kuomba Serikali iongeze TOZO!!??

View attachment 3022320

Lucas Mwashambwa na johnthebaptist lazima bila shaka watakuwa wanahusika kutaka tozo ziongezwe...😂🤣😛😆😃🤚🔥
Tusiumize kichwa raia wenzangu,
'Wananchi' ni neno la fumbo katumia.

Wazo la tozo liliasisiwa Bungeni na Zungu siku hizo hajawa hata naibu spika na kusapotiwa na Rtd Spika Ndugai.

Fuatilie clips zipo ndugu zangu.
 
Back
Top Bottom