Mwigulu: Aliyetaka kuwashusha matajiri waishi kama masikini alikuwa na ''Sadist mind''

Hiyo ni ndoto ya mchana inayosukumwa na sukuma gang emotions.

Sahaun kuhusu hilo. Nchi iko vizuri na uongozi huu ni mzuri mara 100 kuliko ule wa jiwe. Jiwe alikuwa mwehu, mbaguzi na mbinafsi.
 
Samia ndio awaone mawazir wake hata yy akiondoka watamgeuka tu watu kama hawa sijui kwann wanakuwa viongozi.
Jiwe anstahili kugeukwa. Hata mama kamgeuka jiwe.

-- aliruhisu chanjo ya korona, jiwe aligoma.
--amewaachia wafanyabiashara waliobambikiziwa kesi za uhujumu uchumi na kuwarudishia fedha zao.
.....amefungilia mikutano ya vyama vya siasa .
....ameruhusu uhuru wa vyombo vya habari.

Na mengine mengi ambayo yule dikteta mwendawazimu aliyasimamia
 
Ama kweli mfadhili mbuzi, amesahau aliapishwa kibarazani pale chato kwenye appartment ya mwendazake?
Sasa hizo ndiyo unaona ni fadhila wakati huo ni udhaliloshaji?? Jiwe alikuwa mshamba sana. Acha atukanwe na kila mtu
 
Kwa sasa wanakula wachache sio!!
Basi sawa tumekuelewa.
 
Mbona umeandika kinafiki Sana.
 
Tunaanza na wachache kwanza. Tuwe wavumilivu.
 
Mungu anaratibu anguko la CCM...Mkuu soma link hiyo utakubaliana nami kuwa suluhisho halipo mbali.

Nimejifunza kutulia siku hizi
 
Mkuu unaona ninachokiona. Kile kisichotarajiwa kitakwenda kutokea katika hali ya ajabu. Katika dunia hii kuna kitu kufikia ukomo. Ccm kwa sasa ilipofikia imefikia mwisho wa uwepo wake maana wakati ni ukuta.
Sawa ila chadomo no
 
Salute GT..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…