Mwigulu: Aliyetaka kuwashusha matajiri waishi kama masikini alikuwa na ''Sadist mind''

Na anayewakamua watanzania wote middle income mpaka wasionacho kwa matozo yasiyo na tija, na kuwaweka kwenye madeni lukuki kwa mikopo ambayo hatuoni value for money huyo anaitwa nini ?

Hubris and Hypocrisy that's all I can Say...., Just a Cheerleader anayecheza na kupiga propaganda kulingana na nani yupo mbele yake..., flip-flopper at his best.....
 
Logic tuu mkuu,
If a=b and c=d
Then
a=d
Si ndio mathematicians

Sent from my TECNO KI5k using JamiiForums mobile app
Hapana umekosea, sahihi ni

If a=b and b=c
Then a=c.✔️

Kusema if a=b and c=d then a=d ni makosa makubwa.❌

maana hakuna uhusiano wowote (relationship) kati ya a na d.
 
Ufisadi ??!! Or sadist mind ?!! Which is which ?!
 
Yaani Mwigulu huyu anamnanga Magufuli live bila chenga,tutamuonyesha.
 
Hapana umekosea, sahihi ni

If a=b and b=c
Then a=c.✔️

Kusema if a=b and c=d then a=d ni makosa makubwa.❌

maana hakuna uhusiano wowote unaoonekana hapo kati yao cha kuwaunganisha.
Kuunganisha nani na nani?
 
Bila hivyo tutapita walikopita wengine kudai mabadiliko. Sisi sio kisiwa!
 
BOra uishi na mchawi kuliko mnafiki, na wabaya wa nchi yetu ni viongozi wanafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…