Mwigulu: Aliyetaka kuwashusha matajiri waishi kama masikini alikuwa na ''Sadist mind''

Ipo siku SSH akiwa anawanoa wajukuu wake atawaeleza ya Mwigulu Nchemba.

Hadithi ya Esakariat ni ya kweli...ina maana hata wale wanaonekana wana mazuri wana mabaya.

Hii kiboko!
 
kesho akija mtawala mwengine na mwigulu ukapata madaraka utasikia yule mama alikuwa anamaliza nchi.
akili za utumbo mpana kwa ccm
 
Unafiq tu. Hilo angelisema kipindi kile cha mwendazake ili aone moto wake
Apotezwe?

Khaa, kwani tymesahau mawaziri walivyokuwa wanafanyiwa ubabe na viuaji vyake. Tukukumbushe?
 
Ipo siku SSH akiwa anawanoa wajukuu wake atawaeleza ya Mwigulu Nchemba.

Hadithi ya Esakariat ni ya kweli...ina maana hata wale wanaonekana wana mazuri wana mabaya.

Hii kiboko!
Khee@ kwanini sasa hivi hawaoni? Unaota?
 
Huyu Mwizi alivyoiba hela za passport akasamehewa basl anajiona ana haki ya kufanya chochote
 
Huyu ni changudoa wa kisiasa. Ni bahati mbaya hata huyo mama ni wale wale. Maana, angekuwa anajitambua, angewatimua akina Mwigulu ambao kesho watamponda kama wanavyomponda mwendazake aliyewatoa kwenye majalala. Nao ipo siku yao wataumbuka hata hivyo.
 
Walinzi wa Waarabu wakiwa na Matajiri wa Kiafrika....
 
Ameshakuwa tajiri mkubwa sana sasa kutokana upigaji wizara ya Fedha. Atasema mengi.
 
Magufuli alikuwa kondoo nani ya kundi la mbwa mwitu. Ilikuwa lazima tu afe
 
Ipo siku SSH akiwa anawanoa wajukuu wake atawaeleza ya Mwigulu Nchemba.

Hadithi ya Esakariat ni ya kweli...ina maana hata wale wanaonekana wana mazuri wana mabaya.

Hii kiboko!
Mwigulu kwani kamsaliti nani?
 
Huyu ni changudoa wa kisiasa. Ni bahati mbaya hata huyo mama ni wale wale. Maana, angekuwa anajitambua, angewatimua akina Mwigulu ambao kesho watamponda kama wanavyomponda mwendazake aliyewatoa kwenye majalala. Nao ipo siku yao wataumbuka hata hivyo.
Kwani Mwigulu anamponaa mwendazake? Kivipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…