Mliyataka wenyewe kwa kukubali uchafuzi wa 28/10/20. Wakulaumiwa ni CCM na Mwigulu ni sehemu yake tu. Sema: "Tuandamane dhidi ya CCM".
 
Maono safi sana. Tuandamane kupinga CCM na siyo Mwigulu kuondoa mzizi wa uovu huu.
 


Sio maamuzi ya kinyonyaji huo ni WIZI.

Kosa la mwigulu ni kejeli zake kwa wananchi, eti anasema asiyetaka kulipa hiyo kodi na ahamie Burundi, hiyo maana yake ni hii: 1---Yeye hii nchi ni kama nyumba yake na sisi wananchi ni wapangaji wake na tukishindwa kulipa kodi ya pango tuhame nyumba yake, Baba mwenye nyumba kasema.

2--- Hiyo ni kejeli kwa nchi ya Burundi, kwamba huko ndiko wanaishi watu wasiolipa kodi.
 
Maandamano si tunaanzia pale askari moment,sasa mbona nimefika makamanda hampooooooooo?[emoji23]
 
Badala useme tudai katiba wewe unasema mtu atolewe uwaziri c.c.m ni ileile,dawa katiba mpya itakayo kua na nguvu ya kuwabana viongozi wanao angalia matumbo yao,bila kuangalia wana inchi wote kwa masilahi ya taifa.
 
Ile dharau ya Madelu ni balaa imevuka mipaka sasa....eti huyu anataka kuja kuwa Rais kwa dharau ile asahau
 
[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Kwenye hili la miamala Waziri husika itabidi atupishe.
Ni kawaida serikali kupima joto ila Kwenye hili wamechemsha.
Wangegusa kidogo wangefanikiwa.
Tujiandae tamko
We said this
 
.
 
Kwani siku 100 zimeshakwisha? Subirini dawa iwaingie, endeleeni kupanua na kudemka Chaga gangsters.
 
Kweli ndugu yangu na classmate wangu una matatizo sana. Unajua fika kua uliandaa mapendekezo ya hovyo halafu ukakimbilia kuyatetea kwenye media. Uliona bora utafute maarufu wa kisiasa kuumiza wengine bila kutafakari madhara yake, ni dhahiri kua una mapungufu na uwezo usiostahili katika wizara husika.

Hey Comrade, tunakuomba achia ngazi kulinda heshima yako kuepuka kuja kuharibu Image yako kisiasa kwa kutimuliwa kwenye wizara yako. Ni wazi kua umeshindwa kazi na wewe unajua. Ulisimamia mawazo ya hovyo isingekua busara Mhe Rais wetu ungesababisha migogoro mikubwa kati ya serikali na wananchi.

Ulishaonesha kua uwezo wako haufikii kusimamia wizara nyeti, ulipewa wizara ya mambo ya ndani ukavuruga, wizara ya fedha mambo yale yale. Tafadhali sana andika barua ya kujiuzulu acha kusubiri aibu.

Nimekupa ushauri, kama hutaki basi subiri.
 
Huyo ni PhD holder usimfananishe na vibaka waliokamatwa hko MZA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…