Stan Mashamba
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 3,183
- 2,479
Mliyataka wenyewe kwa kukubali uchafuzi wa 28/10/20. Wakulaumiwa ni CCM na Mwigulu ni sehemu yake tu. Sema: "Tuandamane dhidi ya CCM".Kosa lake ni kubwa mno Halina msamaha. Ajiuzulu au Mama Rais amwajibishe. Short of that tufanye maandamano nchi nzima maana wote tumeambiwa tuhamie Burundi, Ni wajibu wetu sote kuandamana kupinga udhalimu wa huyu mtu mwovu shetani ili tuweze kubaki Tanzania.
Kesho huyu akiwa Rais atatupiga risasi wote au atatuhamishia Burundi
Takbir, Takbir, Takbir