Mwigulu, it's enough. You MUST resign!
Mwigulu ni version ya jiwe had tabia na alitaka kuwa Rais wa nchi, eeh Mungu isaidie Tanzania. Kwa mahujiano na Farhia kumbe Mwigulu ni mweupe kiasi hicho hata kujieleza tu ni tabu ana jeuri na kiburi aisee, ajirekebishe bana
Jamaa ni mjinga sana, kasoma uchumi wa kukariri..Waziri mzima una implement kitu ambacho hata wiki hakijamaliza kinakuwa backfired ....useless.

Usalama wa taifa hakikishemi jamaa anakwenda kulima kwao.....ni kuku huyu.
 
Kodi hutafutwa zaidi kwenye biashara zenye faida kubwa sasa unamrundikiaje mtu kodi kwenye uduma mfano kutuma fedha kwa simu? Ama mafuta kwa mwananchi?

Mwigulu hana exposure katoka kuchunga,kapita vishule kakariri masomo kaenda UD kakariri kapewa udk lkn hajui biashara wala uchumi practically na globally!! Anajidai doookta lkn nimshamba anayejidai anamisimamo.

Huwezi kufukuza watu nchini mwao kisa hawaafiki mawazo yako! Eti twende Burundi? Kwanini yeye asiende 'heli'? Studid
 
Mamlaka ya uteuzi tuseme Sasa imetoshaaaaa

Tozo ya Mafuta juu
Tozo ya Fedha mitandaoni juu
Tozo ya kiwanja kwa luku
Makato ya kwenye vocha juu...
Huwezi sikia wakiongelea kupunguza matumizi yasiyo ya lazima wao ni tozo tu
 
Najua mtanikumbuka sio kwa mabaya bali kwa mazuri kwa sababu nimeji sacrifaiz kwa ajili ya Watanzania ~ Alisikika shujaa mmoja
Pamoja tunapitia maisha mapya yenye changamoto Ila sitakuja kumkumbuka beana yule maana mema yamezidiwa na mabaya.
 
Kosa lake ni kubwa mno Halina msamaha. Ajiuzulu au Mama Rais amwajibishe. Short of that tufanye maandamano nchi nzima maana wote tumeambiwa tuhamie Burundi, Ni wajibu wetu sote kuandamana kupinga udhalimu wa huyu mtu mwovu shetani ili tuweze kubaki Tanzania.
Kesho huyu akiwa Rais atatupiga risasi wote au atatuhamishia Burundi

Takbir, Takbir, Takbir
 
Hee..takibiriii tena! Ni maandamano ya majihadi yanayoanzia musikitini au? Kwanza ni maandano ya nje au ya humu humu jf ambako hakuna anaekujua ili uwe mstari wa mbele jomba!
 
Mimi nimetangulia, mtanikuta huko... Nikifika huko ntabadili jina na kuitwa Ntashimikilo Nyangata
IMG-20210721-WA0019.jpg
 
Kosa lake ni kubwa mno Halina msamaha. Ajiuzulu au Mama Rais amwajibishe. Short of that tufanye maandamano nchi nzima maana wote tumeambiwa tuhamie Burundi, Ni wajibu wetu sote kuandamana kupinga udhalimu wa huyu mtu mwovu shetani ili tuweze kubaki Tanzania.
Kesho huyu akiwa Rais atatupiga risasi wote au atatuhamishia Burundi

Takbir, Takbir, Takbir
Mwigulu ni Shetani na nusu..
Alaaniwe duniani na mbinguni.
 
Tozo za Miamala zinang'ata kwelikweli Nchi nzima Watu wananung'unika.
 
Kosa lake ni kubwa mno Halina msamaha. Ajiuzulu au Mama Rais amwajibishe. Short of that tufanye maandamano nchi nzima maana wote tumeambiwa tuhamie Burundi, Ni wajibu wetu sote kuandamana kupinga udhalimu wa huyu mtu mwovu shetani ili tuweze kubaki Tanzania.
Kesho huyu akiwa Rais atatupiga risasi wote au atatuhamishia Burundi

Takbir, Takbir, Takbir
Daima Mbele nyuma mwiko.

Twendeni Makamanda tukampige nduli. Mwigulu Nchemba.

Tunaanzia wapi.?
 
Keyboard worrior
Kosa lake ni kubwa mno Halina msamaha. Ajiuzulu au Mama Rais amwajibishe. Short of that tufanye maandamano nchi nzima maana wote tumeambiwa tuhamie Burundi, Ni wajibu wetu sote kuandamana kupinga udhalimu wa huyu mtu mwovu shetani ili tuweze kubaki Tanzania.
Kesho huyu akiwa Rais atatupiga risasi wote au atatuhamishia Burundi

Takbir, Takbir, Takbir
 
Mwigulu hastahili kubeba lawama ya tozo peke yake, balaa lilianzia bungeni likapitishwa na wale wahujumu uchumi wa CCM na mawakala wao (Covid 19), then likahamia kwa Samia akasoma akaona mambo mazuri akaweka saini, then likapelekwa kwa Mwigulu atutangazie wananchi juu ya maamuzi yao ya kinyonyaji.
 
Mkuu Shikamoo, maandamano kwa waTZ kwa wakati huu ni sawa na kumpenyeza ngamia kwenye tundu la sindano.
 
Kosa lake ni kubwa mno Halina msamaha. Ajiuzulu au Mama Rais amwajibishe. Short of that tufanye maandamano nchi nzima maana wote tumeambiwa tuhamie Burundi, Ni wajibu wetu sote kuandamana kupinga udhalimu wa huyu mtu mwovu shetani ili tuweze kubaki Tanzania.
Kesho huyu akiwa Rais atatupiga risasi wote au atatuhamishia Burundi

Takbir, Takbir, Takbir

Urugendo ruhire umuburundi!!,🤣
 
Hamia burundi tuachie nchi hii bavicha wewe
 
Back
Top Bottom