Mwigulu: Mama Samia kajifunza kuendesha nchi kutoka kwa Kikwete

Siku za mwigilu zinahesabika
 
We stepped to the right track since mi ddle March 2021
 
Nchi hii ni yetu sote, awe amekopi au hajakopi sie wana nchi tunahitaji amani zaidi ya kila kitu ,
 
Mwigulu ka demka sana,
Bajeti yake ya kwanza alitakiwa awe serious sana,na hivi bajeti yenyewe magumashi!!
Mama SSH yupo peke yake na busara/utashi wake,wanamwondolea staha aliyojijengea katika utumishi wake.
 
Hapendi kuonea watu Mwigulu kamsahau Ulimboka? lile bomu kule Soweto Arusha Mwigulu akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Jaji Warioba alipigwa ngumi wakati gani? siasa tupu.
Bora jk alitesa,sio mwenda zake aliyetesa na kuua
 
Ila mlipigwa na kuuliwa kweli mlipotaka gesi isitoke mtwara?
 
Hiyo ni namna nyingine ya kusema "màgufool alijifunza kuendesha nchi kutoka kwa dikteta Mkapa aka mzee wa mauaji ya 2001
wakristo wenzangu wakatoliki, huwa wakipewa kuongoza nchi sijui kwann maisha ya nchi yanakuwa kama hivyo yaani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…