Mwigulu na Makamba wamesema uongo utekelezaji wa Bwawa la Nyerere. Mamlaka zichukue hatua

Kwa kuanzia suppose ni kweli mradi ulikuwa umefikia asilimia 52 halafu Waziri Makamba akasema ni asilimia 37, tujulishe uongo huo una madhara gani ya kupelekea Waziri ajiuzulu?.
P
Siku hizi una tafta teuzi hadi umekuwa Kubwa Jinga.
Hujui kuna implications ktk Cost na mikopo kwa kisingizio cha mradi uko 12% au 37% compared to 52%?
 
Wapiga dili wakijandaa 2025 hakuna lingine
 
Tukisema hao watu hawana akili wala hawajitambui muwe mnaelewa mara moja
 
Kwa kuanzia suppose ni kweli mradi ulikuwa umefikia asilimia 52 halafu Waziri Makamba akasema ni asilimia 37, tujulishe uongo huo una madhara gani ya kupelekea Waziri ajiuzulu?.
P
umemuuliza swali kubwa sana kwa jinsi anavyoshadadia hawezi kuwa na majibu mkuu
 
Cha ajabu 2025 wananchi wao watawapa kura kama kawaida wakiamini ni watu bora kupe ni wajinga wajinga imagine makamba kasoma chuo bora duniani ila akili za hovyo akili fupi kama mzee wake
 
Kwa kuanzia suppose ni kweli mradi ulikuwa umefikia asilimia 52 halafu Waziri Makamba akasema ni asilimia 37, tujulishe uongo huo una madhara gani ya kupelekea Waziri ajiuzulu?.
P
huo uongo unatupa shaka juu ya zile taarifa zingine anazotoa. Kama hapa tumegundua kaongopea taifa (kwa mfano yani) sasa je zile taarifa za mikopo nafuu na madeni, tunahakika gani kweli ni mikopo nafuu?
Serikali haipaswi kutoa taarifa ya uongo kwa namna yeyote ile, je alikua anaficha nini mpaka aongopee uma?
 
Rambo mwambie bro Pasko kuwa uongo wowote bila kujali athari ni mbaya,na uongo ndilo tatizo kubwa la mtu mweusi,bw P ajue hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…