Mwigulu Nchemba ang'aka kuagiza mabasi 60, asema hana biashara hata ya bajaji

Utokoo wa Ndani kabisaa unaonuka

Sent from my Nokia 4.2 using JamiiForums mobile app
 
Wanaomiliki Ester luxury ni Mwigulu Nchemba, Job Ndugai na Joseph Ngeleuya. Msidanganyike na maneno yake hayo. Amini nawaambia.
 
Hii Press ilikuwa ya kimkakati lakini ufafanuzi wa Mwigulu ni wa hovyo juu ya kuagiza mabasi 60. Waziri alikuja kujibu hoja lkn hakujiandaa na akawabeba na wenzake kimkakati tu. Take note Mkuu. Kwanza nani amesema hayo mabasi umeagiza kisa tozo?. Kwahiyo ukiichambua press yake ni kama vile alikuja kujibu hoja hizi ila kwa mwavuli wa kusema anakuja kufafanua kuhusu tozo. Tumsaidie Rais.
 
Huyu anautaka Urais kwa gharama yoyote but naapa HAUPATI. Yaani hawa wana siasa hawajifunzi. Ukitaka kuwa Rais TZ , unatakiwa silent killer . Huyu na January na Nape hawa Wote ni big failure na wameshaukosa Urais
 
Bashite alitamba sana ila mwisho wa siku Jiwe alimtafutia sababu akampiga chini.
 
Kwahiyo vyombo vya uchunguzi vimeridhika na hayo majibu na vimeenda kulala?
 
Wewe kwa akili zako unatarajia angekuja kusema ndio ana miliki na kanunua manasi 60?
 
Kwa hiyo hii Esther Company haitambui ameikana hapo.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Umetumwa?
 
Akili za watu ni watu ni za ajabu nilianza na day care Sasa ivi Nina secondary ila habari zilizo mjini shule yangu naambiwa ni ya mbunge mwanamama na na Hela sana, tuache wivu na uvivu tufanye kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…