Mwigulu Nchemba ang'aka kuagiza mabasi 60, asema hana biashara hata ya bajaji

Huyu jamaa alisoma shule ya vipaji hili linajulikana na alikuwa Kaka mkuu pale kwenye "kitei" na nyama jumanne, kumkamata unahitaji uwe na kipaji pia ila hivi pesa walizonazo viongozi wengine utalinganisha na huyu? watu wameiba tangu uhuru hadi leo,

kwa wale tunaofika majumbani kwa viongozi tunaona na kushangaa unakuta V8 mpya nne rangi tofauti na madereva wawili na walinzi wawili unajiuliza huyu mzee kaisha magari haya yote yanini! kodi zinaenda bure tu!
tuache unafki kumsakama mnyampaa si haki wakati mazee yenye hela za wananchi yako home kimya!

Tozo ni haki yetu kulipa ila tuone SGR ikienda fasta, Nyerere Dam ikiisha fasta na nyasi bandia alizoahidi bungeni aziweke sasa tufaidi boli huku tukinywa kahawa maana hatuna kingine cha kujivunia!
 
Ndo muamke sasa. Pazeni sauti mtaani. Andamaneni.
 
Umuingize Mungu tuu kwa mkono wake...kisa uwoga wako.
 
Ndiyo maana dharau zimezidi. Lakini Mwigulu atambue tu kuwa hata kama anajiandaa kuwa Rais wa Tanzania ataishia pale alipoishia Edward Lowassa au Seif Sharrif Hamad.
 
Wapi imeandikwa kuhusu watoto wa mawaziri wasome shule fulani? Hizo ni roho cha kichawi na umaskini.
Kwa hiyo watoto wa mawaziri wasome shule binafsi kwa milioni 50 za serikali kwa mwaka halafu hizo shule zinazojegwa kwa tozo ya jasho asome nani? Kama elimu ya umma inaboreshwa si wao wawe mfano! Halafu kuingia chuo watoto wenu mnawapa mkopo 100% wakati yule wa masikini anapewa 60% bila posho ya kujikimu sababu Hana Div 1. Masikini yule yule aliekamuliwa kodi na tozo auze chochote mtoto aweze kusurvive na kumlipia bima ya afya!! Inasikitisha
 
Atuambie mmiliki wa Singida star na watoto wake wanasoma wapi?


Huyo sio kama wewe Mkuu , Mh Mwigulu ni mbunge na ni waziri mshahara na Posho zake hashindwi kusomesha watoto hata 20 Ulaya nini Tanzania

Hauna hoja ya maana
 
Acha kumtetea huyo mumeo

Kama unaona wivu mimi hapa kumtetea Mume wangu na wewe netter Mumeo

Hacheni wivu wa kijinga kila serikali inayoongia madarakani mna kiongozi mmoja wa kumpiga vita na kumfitini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…