Toxic Concotion
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 5,760
- 20,837
Bila kusahau rolex na kabalagalaWazeee wa matoke na vinyebwa na chikomandooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila kusahau rolex na kabalagalaWazeee wa matoke na vinyebwa na chikomandooo
Kuna IGP mstaafu alikuwa anamiliki kampuni nne za mabasi ya mikoani watanzania walisemaaaaa mwisho JPM alikuja kumsema live.
Sio vibaya ukamtaja jina na wengine tukamfahamuKuna IGP mstaafu alikuwa anamiliki kampuni nne za mabasi ya mikoani watanzania walisemaaaaa mwisho JPM alikuja kumsema live.
Ndo muamke sasa. Pazeni sauti mtaani. Andamaneni.Na kwa akili yako hii ni sawa huku huduma za jamii zikiwa zinaelekea kaburini?
Kwanza ni ushamba na ulimbukeni binadamu kutojisikia vibaya kutumia pesa za umma kupata maisha mazuri at the expense ya afya na elimu zao.
Si kosa kuwa na pesa wala maisha mazuri, kosa ni pale unapoenda hazina kujichotea kupitia sheria za nchi pesa zilizochangwa na watu wasio na kipato ili wewe uishi ki royal huku wao wakiwa hawana hata zile basics...Ni laana pia!
Kweli kabisa. Wameongezeana posho. Kila waziri yuko makini kutafuta safari za nje. Juzi juzi eti waziri wa michezo na katibu wake walikwenda USA kuhudhuria tuzo za BET.Ndiyo hiki hatukitaki sasa tunataka usawa, kwanini alipwe pesa nyingi kuliko halihalisi?
Kama alishatajwa na jiwe unaona shida gan kumtaja,huo ni unafikiIGP aliyefuata baada ya Mahita kustaafu
IpoUongo wako kuwa.kuna shule.inatoza ada milioni 50 umeluumbua uongo wako.hakuna shule kama hiyo Tanzania !!!
Umuingize Mungu tuu kwa mkono wake...kisa uwoga wako.Yani Kuna anguko linakuja hilo, kiburii kikipandaaaa mwisho inakuja kushushwa.
Kuna watu watapandaaa Wataona Sasa tupo ktk maximum level halafu anguko nalo litakuja ghala kama mwizi.
Sio mtu atakaye watoa bali mkono wa Mungu utasimama hapo, hata wakaloge na kuloga havitalogeka,
Kwa Sasa hawaoni cz Mungu kawapiga upofu wasijione kuwa wapo wrong.
Mungu aibarik Tanzania
Jamaa wanapiga pesa za umma bila hurumaKweli kabisa. Wameongezeana posho. Kila waziri yuko makini kutafuta safari za nje. Juzi juzi eti waziri wa michezo na katibu wake walikwenda USA kuhudhuria tuzo za BET.
Hiki ninachokifanya hapa ni zaidi ya maandamano...Ndo muamke sasa. Pazeni sauti mtaani. Andamaneni.
Ndiyo maana dharau zimezidi. Lakini Mwigulu atambue tu kuwa hata kama anajiandaa kuwa Rais wa Tanzania ataishia pale alipoishia Edward Lowassa au Seif Sharrif Hamad.Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amefadhaishwa kuambiwa ameagiza mabasi 60, amedai hana hata biashara bajaj. Mwigulu amesema hakuna haja ya kuchafuana.
Dokezo - Waziri aagiza mabasi 60, Kampuni ya Esther
=====
Mwigulu Nchemba: Imekuja tozo, mtu anasema ona waziri huyu ameagiza mabasi 60 kwenye kampuni yake, mimi sina kampuni hata ya bajaj. Hivi unaweza ukatoka chuo tu ukawa na bweni la wasichana na wavulana la kusaidia halafu uwe na kampuni ya biashara, sina biashara hata ya bajaji.
Kisa tozo, hii ni dhamana tu, hatuna haja ya kuchafuana. Unahangaika kuchafua mtu.
Kuna vituo vya mafuta vinaitwa EFS yaani Esther Fuel Station. Coincidence?Anamiliki mabasi, timu ya mpira, migodi, vitalu vya uwindaji, vituo vya mafuta na mawe.
Kwa hiyo watoto wa mawaziri wasome shule binafsi kwa milioni 50 za serikali kwa mwaka halafu hizo shule zinazojegwa kwa tozo ya jasho asome nani? Kama elimu ya umma inaboreshwa si wao wawe mfano! Halafu kuingia chuo watoto wenu mnawapa mkopo 100% wakati yule wa masikini anapewa 60% bila posho ya kujikimu sababu Hana Div 1. Masikini yule yule aliekamuliwa kodi na tozo auze chochote mtoto aweze kusurvive na kumlipia bima ya afya!! InasikitishaWapi imeandikwa kuhusu watoto wa mawaziri wasome shule fulani? Hizo ni roho cha kichawi na umaskini.
Atuambie mmiliki wa Singida star na watoto wake wanasoma wapi?
Acha kumtetea huyo mumeoHuyo sio kama wewe Mkuu , Mh Mwigulu ni mbunge na ni waziri mshahara na Posho zake hashindwi kusomesha watoto hata 20 Ulaya nini Tanzania
Hauna hoja ya maana
Acha kumtetea huyo mumeo