Mwigulu Nchemba ang'aka kuagiza mabasi 60, asema hana biashara hata ya bajaji

Mwigulu Nchemba ang'aka kuagiza mabasi 60, asema hana biashara hata ya bajaji

Huyu jamaa alisoma shule ya vipaji hili linajulikana na alikuwa Kaka mkuu pale kwenye "kitei" na nyama jumanne, kumkamata unahitaji uwe na kipaji pia ila hivi pesa walizonazo viongozi wengine utalinganisha na huyu? watu wameiba tangu uhuru hadi leo,

kwa wale tunaofika majumbani kwa viongozi tunaona na kushangaa unakuta V8 mpya nne rangi tofauti na madereva wawili na walinzi wawili unajiuliza huyu mzee kaisha magari haya yote yanini! kodi zinaenda bure tu!
tuache unafki kumsakama mnyampaa si haki wakati mazee yenye hela za wananchi yako home kimya!

Tozo ni haki yetu kulipa ila tuone SGR ikienda fasta, Nyerere Dam ikiisha fasta na nyasi bandia alizoahidi bungeni aziweke sasa tufaidi boli huku tukinywa kahawa maana hatuna kingine cha kujivunia!
 
Na kwa akili yako hii ni sawa huku huduma za jamii zikiwa zinaelekea kaburini?

Kwanza ni ushamba na ulimbukeni binadamu kutojisikia vibaya kutumia pesa za umma kupata maisha mazuri at the expense ya afya na elimu zao.

Si kosa kuwa na pesa wala maisha mazuri, kosa ni pale unapoenda hazina kujichotea kupitia sheria za nchi pesa zilizochangwa na watu wasio na kipato ili wewe uishi ki royal huku wao wakiwa hawana hata zile basics...Ni laana pia!
Ndo muamke sasa. Pazeni sauti mtaani. Andamaneni.
 
Yani Kuna anguko linakuja hilo, kiburii kikipandaaaa mwisho inakuja kushushwa.

Kuna watu watapandaaa Wataona Sasa tupo ktk maximum level halafu anguko nalo litakuja ghala kama mwizi.

Sio mtu atakaye watoa bali mkono wa Mungu utasimama hapo, hata wakaloge na kuloga havitalogeka,

Kwa Sasa hawaoni cz Mungu kawapiga upofu wasijione kuwa wapo wrong.
Mungu aibarik Tanzania
Umuingize Mungu tuu kwa mkono wake...kisa uwoga wako.
 
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amefadhaishwa kuambiwa ameagiza mabasi 60, amedai hana hata biashara bajaj. Mwigulu amesema hakuna haja ya kuchafuana.

Dokezo - Waziri aagiza mabasi 60, Kampuni ya Esther

=====

Mwigulu Nchemba: Imekuja tozo, mtu anasema ona waziri huyu ameagiza mabasi 60 kwenye kampuni yake, mimi sina kampuni hata ya bajaj. Hivi unaweza ukatoka chuo tu ukawa na bweni la wasichana na wavulana la kusaidia halafu uwe na kampuni ya biashara, sina biashara hata ya bajaji.

Kisa tozo, hii ni dhamana tu, hatuna haja ya kuchafuana. Unahangaika kuchafua mtu.

Ndiyo maana dharau zimezidi. Lakini Mwigulu atambue tu kuwa hata kama anajiandaa kuwa Rais wa Tanzania ataishia pale alipoishia Edward Lowassa au Seif Sharrif Hamad.
 
Wapi imeandikwa kuhusu watoto wa mawaziri wasome shule fulani? Hizo ni roho cha kichawi na umaskini.
Kwa hiyo watoto wa mawaziri wasome shule binafsi kwa milioni 50 za serikali kwa mwaka halafu hizo shule zinazojegwa kwa tozo ya jasho asome nani? Kama elimu ya umma inaboreshwa si wao wawe mfano! Halafu kuingia chuo watoto wenu mnawapa mkopo 100% wakati yule wa masikini anapewa 60% bila posho ya kujikimu sababu Hana Div 1. Masikini yule yule aliekamuliwa kodi na tozo auze chochote mtoto aweze kusurvive na kumlipia bima ya afya!! Inasikitisha
 
Atuambie mmiliki wa Singida star na watoto wake wanasoma wapi?


Huyo sio kama wewe Mkuu , Mh Mwigulu ni mbunge na ni waziri mshahara na Posho zake hashindwi kusomesha watoto hata 20 Ulaya nini Tanzania

Hauna hoja ya maana
 
Back
Top Bottom