Mwigulu Nchemba ang'aka kuagiza mabasi 60, asema hana biashara hata ya bajaji

Mwigulu Nchemba ang'aka kuagiza mabasi 60, asema hana biashara hata ya bajaji

Kwa aliyesoma kitabu cha The Beautiful Ones Are Not Yet Born,atajua kwanini yeye ni mmiliki na anasema hamiliki.You own something by assigning someone as owner.
Na mwisho wake utakuwa kama Komsoon pale wananchi watakapoamka. Hiki kitabu kimenikumbusha mbali sana, nilifanyia Literature Form 6, Uganda miaka hiyo.
 
Tujikite kumpa ushauri badala ya kuendelea kumshambulia mhe waziri.

Na hili la mabasi mwenye ushahidi kuwa ni yake aulete hapa
 
Umasikini sio sifa nzuri so Mwigulu nae asitumie umaskini kama kichaka chake
Mara nyingi nakuambia huna akili hata kidogo. Mwigulu anaachaje kuzungumzia maskini ikiwa nchi yetu ni maskin? Au unataka aseme sisi matajiri donor country Kama alivyokuwa akisema Magufuli?

Kujifanya wewe ni tajiri huku ukiwa ni maskini wa kutupwa ni ujinga uliopitiliza.

Tanzania ni maskini na watu wake ni maskini wa kutupwa. Ukweli ni huo
 
Back
Top Bottom