Mwigulu Nchemba ang'aka kuagiza mabasi 60, asema hana biashara hata ya bajaji

Mwigulu Nchemba ang'aka kuagiza mabasi 60, asema hana biashara hata ya bajaji

Kumekuwa na uongo mwingi sana kwa viongozi wetu, na hapa Kuna watu huusika kuwachafua kwa maslahi yao.

Mwigulu anasema hamiliki hata kampuni ya bajaji, ilaa anashangaa kuhusishwa na kumiliki kampuni ya mabasi.

Tuache kuwasingizia uongo hawa viongozi. Kama huna ushahidi ni bora ukakaa kimya.

Hawa wanaosema Waziri Mwigulu anamiliki mabasi ndio haohao walisema Lowassa anamiliki kampuni ya Richmond, Ila mwisho wa siku ndio haohao wakageuka na kuanza kumsafisha huku wakizungusha mikono
Unatosha kuwadanganya wafaidika wenzio, sisi tunaoumizwa na tozo zisizo na uhalali huwezi kutudanganya. Acha tuendelee na kampeni, bora hela iibiwe na mwizi anayehangia maisha kama Mimi kuliko mwizi anayetumbua maisha kama wewe.
 
Akitoka hapo anapanda kwenye V8 anaenda hotelini
 
kumekucha.
Utajuta kuwajua ndugu zako watanzania[emoji1787][emoji1787].
pia uache UTAPELI.ada za miamala zinatosha.hzo tozo za serikali ni utapeli.
Ada za miamala mnakula,pia na too mnakula.tunasaidia kutafuta hela?
 
Back
Top Bottom