Mwigulu Nchemba ang'aka kuagiza mabasi 60, asema hana biashara hata ya bajaji

Mwigulu Nchemba ang'aka kuagiza mabasi 60, asema hana biashara hata ya bajaji

Mifano aliyoitoa hata haijibu shutuma dhidi yake.

Habari ya kuwa na bweni la wavulana na wasichana haina maana.

Yeye kutokea kwenye familia duni pia haina maana, kinachotakiwa iundwe tume huru kuchunguza madai dhidi yake.

Kwa utetezi wake mwepesi hivi, unatosha kabisa kuniaminisha yeye ndie mmiliki halali wa hayo mabasi.
 
Back
Top Bottom