Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Nitakuwa mpumbavu wa mwisho nikipoteza muda kuishauri Serikali ambayo imejipambanua kwamba ina akili kuliko sisi wenye nchi.Waziri wa fedha Mhe. Mwigulu Nchemba amesema ameishi na kusoma kwenye mazingira magumu hivyo kama binadamu, yeye pia hapendi kutoza kodi kwa watu wengine...
Wanafanya hivyo kivitendo hasa kwa kuwabinya na kuwamaliza wote wenye mawazo chanya mbadala yanayoweza kuisaidia nchi.
Tumewabana wapinzani tukidhani ndilo suluhisho maendeleo yetu.
Tumeshuhudia wapinzani wakidhibitiwa kama vile failed assassination ya Tundu Lissu na kadhalika.
Ushauri mwingi umetokewa na sasa kinachofanyika ni kuonesha hakuna ushauri ukiowahi kutolewa.