Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ambae hupotoshi umefanya nini cha maana? Huna akili ndio maana huwezi kujenga hoja kama nilivyojenga na kutetea hoja hapo juu.Huyu maza mnampotosha wapuuzi nyie
Mabavu gani zaidi ya kulalamika,wekeni hoja zenu hapa tuzijibu kisomi tuone.Tatizo la mwigulu ni jazba, anataka kutumia mabavu kujenga hoja baada ya wananzengo kumpa za uso hadi phd yake ikaelea juu juu...
Mwigulu ni mtaalamu wa nini? rudia tena.......tuwekeeni CV yenye experience ya ku practice huo uchumi kwenye nyanja za kitaifa na kimataifa na machapisho aliyotoa kwenye majarida ya kimataifa, au mada zozote alizowahi kuwasilisha kwenye makongamano ya wataalamu kimataifa....usijaribu kumweka kwenye kapu moja na mpango.Usiwe kenge wewe ,kabla ya kuweka makisio ya fedha analysis ilifanywa yote haya yalitarajiwa.
Kwa mfano hata watu wapungue kwa asilimia 30% still hiyo 70% inayobakia inaweza kuipa serikali zaidi ya Tilioni 1..
Wale watakao pungua nusu yao wataenda benki na kwa hiyo kodi iyakayotokana na faida ya benki na gawio itafidia kiwango cha VAT kitakachopungua kutokana na ile 30% .
Hali hii pia ni ya mda mfupi maana wateja wanaongezeka,kwa hiyo Mwigulu yuko sahihi kwenye tozo.
Hayo mawazo ya huyo mbunge uliyemuweka hapo juu yataishia kuwa mawazo lakini hayaathiri mwenendo wa uchumi.Tatizo lenu hamjui uchumi na mnaishi kwa hisia.
Mwigulu na Mpango ni wataalamu wa uchumi na Kimei na mtaalam wa usimamizi wa biashara.
Kuna sera za mda mfupi na sera za mda mrefu,as per Kimei anapendelea kukopa zaidi.
Tulia dada unaona kama hapo unamsaidia bwana ako? Haya.Hebu lipeni kodi acheni kubwabwaja
Wewe ni msomi gani unayeweka kodi na tozo ya shilingi 7,250/- kwenye mwamala wa elf 50......wewe ni msomi au jizi, hii hata msukuma hafanyi na elimu yake ya darasa la saba..Mabavu gani zaidi ya kulalamika,wekeni hoja zenu hapa tuzijibu kisomi tuone.
Makadirio ya serikali kutoka kwenye miamala ya simu hayafiki Trillion moja wewe hiyo Trillion moja umeipataje kwa 70% consumers ?Usiwe kenge wewe ,kabla ya kuweka makisio ya fedha analysis ilifanywa yote haya yalitarajiwa.
Kwa mfano hata watu wapungue kwa asilimia 30% still hiyo 70% inayobakia inaweza kuipa serikali zaidi ya Tilioni 1..
Wale watakao pungua nusu yao wataenda benki na kwa hiyo kodi iyakayotokana na faida ya benki na gawio itafidia kiwango cha VAT kitakachopungua kutokana na ile 30% .
Hali hii pia ni ya mda mfupi maana wateja wanaongezeka,kwa hiyo Mwigulu yuko sahihi kwenye tozo.
Hayo mawazo ya huyo mbunge uliyemuweka hapo juu yataishia kuwa mawazo lakini hayaathiri mwenendo wa uchumi.Tatizo lenu hamjui uchumi na mnaishi kwa hisia.
Mwigulu na Mpango ni wataalamu wa uchumi na Kimei na mtaalam wa usimamizi wa biashara.
Kuna sera za mda mfupi na sera za mda mrefu,as per Kimei anapendelea kukopa zaidi.
Anaweza kujikuta yeye ndo kahamia burundi, akatuacha wananzengo hapa hapa..Huyu Waziri Amejizila Kabisa
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Mfute Kazi Haraka
UVCCM Chali!! Yaani Anatudharau Waajiri
Huyu PhD Kapwaya Sana Tumsagie Kunguni Anuke Tu 😏😣Anaweza kujikuta yeye ndo kahamia burundi, akatuacha wananzengo hapa hapa..
Mambo ya kitaalamu wewe mburula huwezi elewa .Makadirio ya serikali kutoka kwenye miamala ya simu hayafiki Trillion moja wewe hiyo Trillion moja umeipataje kwa 70% consumers ?
Sasa wewe ambae sio msomi unaona kuna shida gani hapo? Huwa unahonga bei gani? Bar unanywea sh.ngapi? Unataka nani akuletee maendeleo yako?Wewe ni msomi gani unayeweka kodi na tozo ya shilingi 7,250/- kwenye mwamala wa elf 50......wewe ni msomi au jizi, hii hata msukuma hafanyi na elimu yake ya darasa la saba..
Ku practice kwako unakuelewaje? Nikutafutie CV wakati wewe unafanya nini?Mwigulu ni mtaalamu wa nini? rudia tena.......tuwekeeni CV yenye experience ya ku practice huo uchumi kwenye nyanja za kitaifa na kimataifa na machapisho aliyotoa kwenye majarida ya kimataifa, au mada zozote alizowahi kuwasilisha kwenye makongamano ya wataalamu kimataifa....usijaribu kumweka kwenye kapu moja na mpango.
Kumbe ndo comparison mnazoleta hizi, ni asilimia ngapi wanaohonga na kunywa bia bar kwenye hao watumiaji wa miamala, wewe ndo mwigulu mwenyewe? au ni mwakilishi wake......wewe ndo mwenye PhD ya uchumi, labda uchumi pori...Sasa wewe ambae sio msomi unaona kuna shida gani hapo? Huwa unahonga bei gani? Bar unanywea sh.ngapi? Unataka nani akuletee maendeleo yako?
Hata VP alikwenda huko hivi karibuni. Maneno haya yanaishushia hadhi nchi ya Burundi.Dah, haya maneno si dharau tu kwa wananchi bali hata rais wetu alizuru Burundi. Hivyo kauli hii Mwigulu anamaanisha rais wetu atokomeee uko huko Burundi kwa vile tu nae ameungana na wananchi kwa kusema tozo hizo ziangaliwe upya kwa maana ya kwamba hajakubaliana nazo pi.
Ni vigumu sana kumtofautisha Mwigulu na Mwendazake. mwigulu ana character zote za Magufuli
Believe me, hakuna mtaalamu wa uchumi ambaye anaweza kuweka tozo na kodi 7,250/- kwenye mwamala wa elf 50........chukulia mfano makato kwenye ATM shilingi 500, na hapo ume withdraw milioni moja cash.......eti mtaalamu mwenzangu!Ku practice kwako unakuelewaje? Nikutafutie CV wakati wewe unafanya nini?
Mwigulu kawa Serikalini Jana au leo? Kazi ya wachumi ni kushauri muelekeo wa sera na Nasisitiza Mwigulu ni mtaalamu mwenzangu wa Uchumi kwa hiyo anajua anachokifanya,wewe Lia Lia kama ngedere huwezi jua kitu ila una feel maumivu ndio maana unatokwa na povu la kuzidi
Jibu swali la msingi 7,000 kwenye 50,000 kuna shida gani?Kumbe ndo comparison mnazoleta hizi, ni asilimia ngapi wanaohonga na kunywa bia bar kwenye hao watumiaji wa miamala, wewe ndo mwigulu mwenyewe? au ni mwakilishi wake......wewe ndo mwenye PhD ya uchumi, labda uchumi pori...