Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Kwani wewe na familia yako ukijawa na hasira na ukaandamana ukatutoa kimaaomaso kuna shida?Dunia inashangaa sana kuona tz RAIA wake walivyo #wapole yaani hawana hasira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wewe na familia yako ukijawa na hasira na ukaandamana ukatutoa kimaaomaso kuna shida?Dunia inashangaa sana kuona tz RAIA wake walivyo #wapole yaani hawana hasira
Blaa blaa zimekuwa nyingi ,kinachotakiwa ni kodi Ili Nchi isonge mbele.Hebu lipeni kodi acheni kubwabwaja
Mtaongea yote kinachotakiwa ni kulipa kodi hadi sasa toka mumeanza kelele kuna wakala gani kafunga kibanda? 😂😂Huyu chizi anaona nchi ni mali ya baba ake
wapuuzi nyie bahati nzuri haichagui chama wote tunaumia balaaMtaongea yote kinachotakiwa ni kulipa kodi hadi sasa toka mumeanza kelele kuna wakala gani kafunga kibanda? 😂😂
Jamaa huyu ana PhD ya kiburi na majivuno!! Mama toa hii jamaa kabla hajakuumiza mwenyewe!! Sidhani kama anakuheshimu!! Ukifuga nyoka ukaona anauma wengine usidhani kuwa wewe uko salama!! Ni suala la muda tu, akipata nafasi atakung'ata!!Jeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya.
Ni kauli iliyojaa dharau, kebehi, kiburi, ujivuni, ubazazi, ubaradhuli na ulaanatullah. Huyu amejikinai. Hawajali wananchi maskini wa Tanzania. Na watanzania sababu ni wapole sana nadhani hatuna la kufanya.
Tumpongeze anaupiga mwingi sana.
Haya ni maneno ya dharau na kiburi kikubwa sana sijui wapiga kura wake hayo mafuta wanauziwa tsh. Ngapi maana alivyo ongea utadhani ubunge wake ni wakuteuliwa hivyo hajali, au hana mpango wa kugombea tena maana anaamini 2025 atakuwa RaisDah, haya maneno si dharau tu kwa wananchi bali hata rais wetu alizuru Burundi. Hivyo kauli hii Mwigulu anamaanisha rais wetu atokomeee uko huko Burundi kwa vile tu nae ameungana na wananchi kwa kusema tozo hizo ziangaliwe upya kwa maana ya kwamba hajakubaliana nazo pi.
watu wamepunguza kufanya miamala na hivyo alichotarajia kukikusanya hatakipata - bado anasema uchumi hautaathirika. Haoni kama kodi alizokuwa akipata kutoka kwenye faida ya kampuni za simu inaenda kupungua - Musukuma chapa sana hawa wasomi wa ajabu ajabu! (huu ni u dr. wa makaratasi tu)
Na hii kauli ya kuhamia Burundi, haina tofauti na ile ya kula majani lakini ndege ya rais inunuliwe -Basil Mramba
Kama kuna mtu alisikiliza mchango wa Kimei kwenye bajeti ataelewa kwa nini uchumi utaathirika, Huyu ni mtu ambaye practically amekuza CRDB kwa vitendo, msikilize na alichokisema juu ya tozo za simu ndicho kinatokea sasa!
Na ndivyo inavyotakiwa isichague chama, solidarity fund ,,kuwa mzalendo lipa kodi Jenga uchumi wa nchi yako.wapuuzi nyie bahati nzuri haichagui chama wote tunaumia balaa
Mpuuzi wewe huna maana yoyoteNa ndivyo inavyotakiwa isichague chama, solidarity fund ,,kuwa mzalendo lipa kodi Jenga uchumi wa nchi yako.
Tulikubaliana sisi siyo wanyonge. Hii kulalamika inatoka wapi?Jeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya.
Ni kauli iliyojaa dharau, kebehi, kiburi, ujivuni, ubazazi, ubaradhuli na ulaanatullah. Huyu amejikinai. Hawajali wananchi maskini wa Tanzania. Na watanzania sababu ni wapole sana nadhani hatuna la kufanya.
Tumpongeze anaupiga mwingi sana.
Huyu maza mnampotosha wapuuzi nyieUsiwe kenge wewe ,kabla ya kuweka makisio ya fedha analysis ilifanywa yote haya yalitarajiwa.
Kwa mfano hata watu wapungue kwa asilimia 30% still hiyo 70% inayobakia inaweza kuipa serikali zaidi ya Tilioni 1..
Wale watakao pungua nusu yao wataenda benki na kwa hiyo kodi iyakayotokana na faida ya benki na gawio itafidia kiwango cha VAT kitakachopungua kutokana na ile 30% .
Hali hii pia ni ya mda mfupi maana wateja wanaongezeka,kwa hiyo Mwigulu yuko sahihi kwenye tozo.
Hayo mawazo ya huyo mbunge uliyemuweka hapo juu yataishia kuwa mawazo lakini hayaathiri mwenendo wa uchumi.Tatizo lenu hamjui uchumi na mnaishi kwa hisia.
Mwigulu na Mpango ni wataalamu wa uchumi na Kimei na mtaalam wa usimamizi wa biashara.
Kuna sera za mda mfupi na sera za mda mrefu,as per Kimei anapendelea kukopa zaidi.
Kila mtu aumie kivyake siyo?Tulikubaliana sisi siyo wanyonge. Hii kulalamika inatoka wapi?
Sasahivi wataamka hakuna namnaMimi namuelewa sana Mwigulu, huu ni mpango maalumu wa kuizika ccm endapo SSH hatolitambua hili! Na Mimi naomba Mwigulu aongeze zaidi ujinga ili kila mtanzania tukimwambia tunahitaji mabadiliko ya kimfumo katika utawala iwe rahisi kueleweka! Mwigulu hayupo kabisa upande wa Mama na yeye mwenyewe anahitaji CCM ifikie ukomo!
Ntakuwaje na maana wakati nakataa upuuzi wako ? Lipa kodi la sivyo hamia Burundi au mfuate mwenzio UbelgijiMpuuzi wewe huna maana yoyote
Nani alimpigia kura? huyu alipitishwa na tume ya MaheraHaya ni maneno ya dharau na kiburi kikubwa sana sijui wapiga kura wake hayo mafuta wanauziwa tsh. Ngapi maana alivyo ongea utadhani ubunge wake ni wakuteuliwa hivyo hajali, au hana mpango wa kugombea tena maana anaamini 2025 atakuwa Rais
Ndiyo mshauri wake etiJamaa huyu ana PhD ya kiburi na majivuno!! Mama toa hii jamaa kabla hajakuumiza mwenyewe!! Sidhani kama anakuheshimu!! Ukifuga nyoka ukaona anauma wengine usidhani kuwa wewe uko salama!! Ni suala la muda tu, akipata nafasi atakung'ata!!
Keshapata dondoo kuwa atawekwa pembeni soon.Amwambie na bosi wake kama anaona tozo mpya ni kuwaumiza wananchi nae ahamie Burundi.